Log in
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

Dar es salaam, Tanzania

Alliance for Women,children and Youth Survivors(AWCYS -NGO) 
kwa kishirikiana na Taasisi ya Uigizaji na Ngoma za Asili Tanzania (UNA) Tuna muunga mkono MH: MWANASHA TUMBO Mkuu wa wilaya ya MUHEZA Kuanzisha Kampeni ya ##ULINZI NA ELIMU KWA MTOTO WA MUHEZA TANGA NI JUKUMU LANGU##

Kwani ni wajibu wa MZAZI,MLEZI na JAMII nzima kusimamia ELIMU na ulinzi Kwa mtoto

Je wewe ni mlinzi wa mtoto huko uliko ?

Je uko tayari kusimamia kupatikana kwa Ulinzi na Elimu kwa Mtoto?

Karibu tumuunge mkono Mh mkuu wa Wilaya ya MUHEZA TANGA

Alliance for women,children and youth survivors.

Tuna muunga mkono

MH: MWANASHA TUMBO

Kwani Mtoto ana haki yakupata ulinzi na elimu iliyo bora na salama

"SISI TUNAUNGA MKONO KAMPENI HII WEWE JE" ?

POWED BY AWCYS & OFISI YA MKUU WA WILAYA MUHEZA

Alliance for Women,children and Youth survivors(AWCYS) At Nguvumali Secondary School In Tanga Town through our project "USIACHIE BINTI, ZINGATIA MASOMO"

Present Theater for Development(TFD) to create an awareness in the community venues, in a participatory way to excite school community members to enter into actions including to search for reality of early pregnancy and unsafe abortion, analyse them and suggest the possible solutions. With great support from Pathfinder International

Swahili:
Alliance for Women,children and Youth survivors(AWCYS) tukiwa shule ya sekondari Nguvumali Tanga Mjini kupitia mradi na kampeni ya "USIACHIE BINTI, ZINGATIA MASOMO"

Kupitia Maonesho ya wazi ya sanaa shirikishi juu ya mimba za utotoni na utoaji wa mimba kwa njia isio salama, kwa kuhamasisha jamii kupitia njia shirikishi ili hatua stahiki zichukuliwe na kupatikana ukweli juu ya utoaji wa mimba za utotoni na utoaji wa mimba kwa njia isio salama, kuzielezea na kushauri nini kifanyike. Kwa hisani ya Pathfinder International

Saidia Mtoto wa Tanzania Uisaidie Tanzania

#sanaakitaan

Ndoto_Mpya

Yoga Work shop is coming this sundy 8th,april from 10.00 till 12.30am at DAF Academy close by sea cliff Masaki. Association with SANAA KITAANI and YOGA PURA VIDA.Money raised will be used by YPV to promote Yoga practices among tanzanian people.Suggested donation 20,000TZC.

 

large.jpg

Team #SANAA_KITAANI ilipo tembelea wadau wa sanaa kitaaniSANAA @KITAANI,NDOTO MPYA

large.jpg

Team #SANAA_KITAANI ikiwa na Q BOY MSAFI, Je? sanaa ya Tanzania iko wapi tukiizungumzia katika mapana yake? @SANAA KITAANI,NDOTO MPYA

##studio za UHURU FM RADIO##

@@uchambuzi wa afya ya UZAZI KWA VIJANA NJE YA SHULE WILAYA YA KINONDONI##

@@LENGO NI KUFIKIA VIJANA 150 KWA KATA 10##

 

@@@@WAZAZI NA TURUDI KULEA WATOTO WETU KWA MAADILI MEMA###

@@@@TUSEMEZANE NA WATOTO WETU JUU YA SUALA ZIMA LA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA###

             MAZOEZI NI MOJA YA NJIA SALAMA KUJENGA AFYA ILA PIA KUHIMILI MIHEMKO YA MWILI HUSUSANI KATIKA KIPINDI CHA MABADILIKO YA MWILI (BALAHE)

     - HII NI MOJA YA MAZOEZI KWA VIJANA NJE YA SHULE KUPITIA MRADI WA ''PAMBAZUKO" UNAO TEKELEZWA NA ASASI YA UNA TANZANIA KWA HISANI YA UBALOZI WA UFARANSA KUPITIA WILAYA YA KINONDONI KWA KATA KUMI

   LENGO NI KUFIKIA VIJANA 150 WALIYO NJE YA SHULE HUSUSANI MAKUNDI MAALUM

UNA TANZANIA YAWAPA ELIMU YA AFYA YA UZAZI VIJANA 50 KUTOKA KATIKA KATA 10 ZA WILAYA YA KINONDONI LENGO IKIWA NI KUWAFIKIA VIJANA 150 KUPITIA MRADI WA @#PAMBAZUKO# UKIWA UMEFADHILIWA NA SERIKALI YA UFARANSA