- TUNAKARIBISHA WATU WOTE WANAO WEZA KUJITOA KUJA KUUNGANA NASI KWA MWAKA UJAO KWANI TUMEJIDHATITI KUIFIKIA JAMII NZIMA YA TANZANIA YOTE ILI KUWEZA KUPENYEZA JUMBE MBALI MBALI KWA KUPITIA SANAA SHIRIKISHI,IKIWA NI MAIGIZO,NGOMA,NYIMBO,NGONJERA, NK
- LAKINI PIA KUJITOA KATIKA UCHANGISHAJI WA DAMU SALAMA KUPITIA CLUB YETU YA UNA OKOA MAISHA LENGO IKIWA NI KUOKOA MAISHA YA VICHANGA VYETU,WAMAMA WANAOJIFUNGUA KWA OPERESHENI,WAZEE NA WATU WAPATAO AJALI KIUJUMLA HIVYO CHANGISHA HII ITAKUWA NI YA MIKOA YOTE TANZANIA NIA.
- KILA ATAKAE GUSWA NA HILI TUNAOMBA AUNGANE NASI ULI TUWEZE KUIFIKIA JAMII YA TANZANIA 1) KAMA KUNA MTU ANAWEZA UNGANA NASI KWA KUANDIKA PROPOSAL YA KUWEZESHA JAPO VIJANA KUNYWA MAJI KATIKA MAPIGANO HAYA
2) KAMA KUNA MTU ANAWEZA UNGANA NASI JAPO KUCHANGIA MFUKO WA CLUB HII KWA LENGO LA VIJANA (WASANII NA WATAALAMU WA AFYA TOKA UNATZ KUPATA KUSAFILI NA KULA JAPO KIDOGO TUTASHUKURU.
3) KWA WALE MAVOLUNTER PIA TUNA WAKARIBISHA TUJE UNGANA PAMOJA KATUKA MAPIGANI HAYA
4) MASHIRIKA,KAMA LIPO SHIRIKA LOLOTE LILE LINAWEZA KUUNGA MKONO BASI TUUNE PAMOJA HATA KAMA UNA MRADI KAMA HUU BASI SISI TUPO TAYA LI KUWA PAMOJA LENGO NI KUIFIKIA JAMII TANZANIA ISIYO FIKIWA KWA HARAKA
UNA TANZANIA INA KARIBISHA WADAU WAPENDA MAENDELEO KWA UPANDE WA KULISOGEZA GURUDUMU PAMOJA LA UNA TANZANIA KUPITIA PROJECT ZETU KWANI TUMEKOSA KUUNGWA MKONO ILI KUWEZA KUIFIKIA JAMII KWA MAPANA HIVYO YEYOTE YULE AMBAYE ATAKUWA AMEGUSHWA NA PROJECT (MIRADI) HII KWA MWAKA UJAO TUJULISHE TAFANDALINI SANA MIRADI NI HII
1) ELIMU MASHULENI OKOA KIZAZI CHA DIGITAL
"MALENGO YA MRADI" (A) KUTOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI,UJINSI NA UJINSIA,SAIKOLOJIA JAMII NA KUJITAMBUA KWA NJIA YA SANAA SHIRIKISHI(THEATRE),KUPITIA MIDAHARO,SEMINA,KONGAMANO,MAANDAMAO,BONANZA NA TAMASHA NA MAJADILIANO
2) ELIMU YA UJASILIAMALI MASHULENI
"MALENGO YA MRADI" NI KUTUMIA MARIGHAFI TULIZO NAZO PIA KUVITUMIA VIPAJI TULIVYO NAVYO NA KUVITANGAZA ILI WATOTO WETU WAWEZE KUJIAJIRI WENYEWE NA SI KUSOMA ILI WANGOJE KUAJIRIWA (A) SANAA YA USHORAJ.UFUMAJI,KUDALIZI,UCHONGAJI,MAIGIZO,NYIMBO,NGOMA,NGONJERA.
B)KUJIFUNA MAPISHI,KUBUNI NA KUCHORA BUSTANI NA KUTENGENEZA MAUWA MASHINDANO YA MICHEZO MBALIMBALI.
2) FUND 255
-NI MRADI WENYE KULENGA KUTOA ELIMU YA UJASILIAMALI NA ELIMU ZA KUJITAMBUA KWA VIJANA WALIO NJE YA SHULE WAKE KWA WAUME
A) KUJIFUNA - USEREMALA,SANAA,KUSHONA,KUTENGENEZA CURTURE NA UBUNIFU WA MAMBO MBALIMBALI
UNA GROUP TANZANIA (UNA TZ) TUPO KATIKA MAPAMBANO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA TUWALEE CHINI YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI JAMII,MANISPAL YA KINONDONI,USAID,FHI,KATA YA MAGOMENI,KATA YA MBEZI MAKABE NA KATA KWEMBE