Log in
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI

Dar es salaam, Tanzania

SANAA KITAANI,NDOTO MPYA

Latest Updates
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI updated its Projects page.
SANAA KITAANI: #NdotoMpya – Ni programu ambayo ina mgusa MSANII,MDAU WA SANAA,WATAALAMU WA SANAA PAMOJA NA VIONGOZI MBALIMBALI WANAO SIMAMIA SANAA YETU TANZANIA/ – SANAA KITAANI – NI UTEKELEZAJI WA MAMBO (5) 1. VIPINDI VYA TV ... Read more
March 6
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI added 2 News updates.
Team #SANAA_KITAANI ilipo tembelea wadau wa sanaa kitaaniSANAA @KITAANI,NDOTO MPYA
March 6
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI updated its Home page.
SANAA KITAANI,NDOTO MPYA
March 6
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI added a News update.
##studio za UHURU FM RADIO## – @@uchambuzi wa afya ya UZAZI KWA VIJANA NJE YA SHULE WILAYA YA KINONDONI## – @@LENGO NI KUFIKIA VIJANA 150 KWA KATA 10## – @@@@WAZAZI NA TURUDI KULEA WATOTO WETU KWA MAADILI MEMA### – @@@@TUSEMEZANE NA WATOTO WETU JUU YA SUALA... Read more
February 19, 2017
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI updated its Home page.
SANAA KITAANI,NDOTO MPYA
February 19, 2017
UIGIZAJI NA NGOMA ZA ASILI added a News update.
MAZOEZI NI MOJA YA NJIA SALAMA KUJENGA AFYA ILA PIA KUHIMILI MIHEMKO YA MWILI HUSUSANI KATIKA KIPINDI CHA MABADILIKO YA MWILI (BALAHE) – - HII NI MOJA YA MAZOEZI KWA VIJANA NJE YA SHULE KUPITIA MRADI WA ''PAMBAZUKO" UNAO TEKELEZWA NA ASASI YA UNA TANZANIA KWA HISANI YA UBALOZI WA UFARANSA KUPITIA... Read more
February 17, 2017
Sectors
Location
Dar es salaam, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations