Envaya

/UNATZ/news: English

BaseEnglish
(image) (image) (image) (image) HABARINI WADAU? – KWA UPANDE WA MWAKA HUU HATUKUANZA VIBAYA TULICHEZA NA WATOTO SIKU YA KUFUNGUA MWAKA MPYA TUKIWA STUDIO ZA TBC TAIFA KIPINDI KIKAWA LIVE – SIKU HIYO PALIKUWA HAPATOSHI MAAAANAAA DUUUU CHEKI HIIII !!!!!! (image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image) – UTETE WA KUMUOKOA NA UKATILI KWA MSICHANA NA MWANAMKE TANZANIA UNAENDELE SHULE YA BUNJU CHINI YA VIJANA WA UNA TANZANIA(Not translated)Edit
(image) UNA TANZANIA TUNA SISITIZA WAZAZI NA WALEZI KUWA MAKINI KATI MALEZI YA WATOTO WETU HUSUSANI KIPINDI HIKI CHA ELIMU BURE KWANI TUNAJIZOESHA KUTOKAA NA WATOTO WETU KUJUWA MAENDELEO YAO YA KIMWILI,KIELIMU NA KIJAMII KWA UJUMLA – (image) (image) – 1) KUJUA MUELEKEO WA MTOTO KIMAUMBILE YAANI MAKUZI KWANI TUMEGUNDUA MENGI KUTOKA KWA WATOTO WETU MASHULENI HUSUSANI WAZAZI KUTOJUWA HATA...(Not translated)Edit
NI JIKUMU LETU SOTEE!!!!!! – HABARI NDUGU WADAU WENZETU NAOMBA TUUNGANE KATIKA MAPAMBANO HAYA>>>>TUNAOMBA SHARE/LIKE – http://fredynjeje.blogspot.com/…/kampeni-ya-kupiga-vita-ndoa katika umri mdogo/utotoni na mimba katika umri mdogo/utotoni (image) (image) (image) (image) ...(Not translated)Edit
> UNA TANZANIA> Yajikita katika kutoa Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Vijana nje ya Shule kwa kata 10 katika Wilaya ya Kinondoni,ikiwa lengo ni kufikia Vinaja 150 wa nje ya shule katika wilwya ya kinondoni kwa miezi 6 – > MRADI huu wenye jina la "PAMBAZUKO" (Elimu ya AFYA YA uzazi kwa Vijana nje ya Shule) Unao fadhiriwa na Serikal ya UFARANSA unalenga vijana waliyo nje ya shule – na makundi maalumu. ...(Not translated)Edit
UNA YOUTH VOLUNTEER - TUMEENDELEA KUPATIWA MAFUNZO YA UIBUAJI NA ULEZI/UTUNZAJI WA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI (WWKMH) KUPITIA MRADI WA "PAMOJA TUWALEE" UNAO FADHILIWA NA USAID KUPITIA WAMATA/FHI-UNA WAKIPATA UZOEFU KUPITIA MRADI WA "WEKA WATOTO SALAMA WAOKOE TAIFA LAO" (image) (image) (image) (image) (image)(Not translated)Edit
(image) (image) UNA TANZANIA WAKISHIRIKIANA NA AVC KUIBUA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI (WENYE ULEMAVU NA UTINDIO WA UBONGO) – KWA KUTEMBELEWA NA WAGENI TOKA ASASI RAFIKI YA AVC NA MAREKAN (image) – VOLUNTEER WAKIJIANDAA KUINGIA MITAANI WAKIWA OFISI ZA AVC(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit