Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Alliance for Women,children and Youth Survivors(AWCYS -NGO) 
kwa kishirikiana na Taasisi ya Uigizaji na Ngoma za Asili Tanzania (UNA) Tuna muunga mkono MH: MWANASHA TUMBO Mkuu wa wilaya ya MUHEZA Kuanzisha Kampeni ya ##ULINZI NA ELIMU KWA MTOTO WA MUHEZA TANGA NI JUKUMU LANGU##

Kwani ni wajibu wa MZAZI,MLEZI na JAMII nzima kusimamia ELIMU na ulinzi Kwa mtoto

Je wewe ni mlinzi wa mtoto huko uliko ?

Je uko tayari kusimamia kupatikana kwa Ulinzi na Elimu kwa Mtoto?

Karibu tumuunge mkono Mh mkuu wa Wilaya ya MUHEZA TANGA

9 Oktoba, 2018
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.