Log in
TANZANIA YOUTH NEW FASHION

TANZANIA YOUTH NEW FASHION

Tabora, Tanzania

Parts of this page have been translated from Swahili to English. View original · Edit translations

explanation of deviation from work plan

baadhi ya MVCCs hawana elimu ya kusoma wala kuandika hali iliyopelekea kushindwa kutoa takwimu sahihi za MVCs.

 

c)baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mzingira hatarishi hawawezi kuandika na kusoma vizuri.

d)kamati zikaguliwe ili kuweza kujua ni wanakamati wangapi wanauwezo wa kuandika na kusoma vizuri na ni wangapi hawajui kusoma na kuandika.

e)nimejifunza kwamba wakati walipokuwa wanateuliwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo.

f)kamati zifanyiwe marekebisho

g)wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe watakao kuwa na vigezo vya kuweza kuwa katika kamati.

h)kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi zijengewe uwezo ... wanakamati wapatiwe mafunzo ili kuleta ufanisi katika kazi zao za kila siku hii itawasaidia kuweza kuandika taarifa na kujaza fomu zote zitakazotumiwa na wanakamati wakati wa utekelezaji wa mradi wa pamoja tuwalee

elimu zaidi iendelee kutolewa kwa wanakamati ili wajue kazi na majukumu yao ili utendaji wao wa kazi uwe mzuri

wanakamati wapewe semina angalau mara moja kwa kila mwezi ili wakumbushwe majukumu yao

katika kijiji cha matagata nimefanya id upya na kuwabaini mvcc wapatao

kuna baadhi ya mvccs wamehama, kwahiyo wanao wajibika kufanya kazi ni wachache

tayari nimesha waingiza wanakamati wapya ili wazibe nafasi za walio hama

mvccs wanahitaji mafunzo zaidi ili waweze kujua wajibu wao katika mradi huu wa pamoja tuwalee

 

c)Baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi hawajui kuandika na kusoma, hivyo wengi wao wameshindwa kujaza fomu vizuri.

d)Kamati zifanyiwe marekebisho, wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe wenye uwezo wa kusoma na kuandika.

e)Nimejifunza kwamba wakati wanakamati walipokuwa wanateukiwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo

f)Kamati zifanyiwe marekebisho

g)wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe wenye uwezo wa kusoma na kuandika

h)kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi zijengewe uwezo..wanakamati wapatiwe mafunzo ili kuleta ufanisi katika kazi zao za kila siku, hii itawasaidia kuweza kuandika taarifa na kujaza fomu zote zitakazotumiwa na wanakamati wakati wa utekelezaji wa mradi wa Jali Watoto

kuna baadhi ya vijiji havina kamati za watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, mfano kijiji cha matagata kilichopo katika kata ya kipili

kutokana na hali halisi ya watanzania wengi kukosa elimu ya ufahamu wengi wao wamekuwa watu wa kuhangaika mitaani, hali hii imekuwa kikwazo cha maendeleo

kufuatilia maendeleo ya mradi

c)wanakamati kuwa wagumu wa mapokeo (kuelewa)

-baadhi ya wanakamati hawajui kusoma na kuandika

d)mabadiliko yafanyike, kamati ziundwe upya kwa kuzingatia vigezo vya kujua kusoma na kuandika

e)nimejifunza kwamba, wakati kamati zilipokuwa zinaundwa hakukuwa na umakini , jambo lililofanya kupatikana kwa kamati zisizijua kusoma na kuandika.

f)kamati zivunjwe(zifanyiwe marekebisho)

g)kutokana na wanakamati wengi kutojua kusoma na kuandika ni vyema kamati zivunjwe na zoezi la kuunda kamati lifanyike upya

h)mara baada ya marekebisho ya kamati kufanyika upya , wanakamati wote wapewe mafunzo yenye lengo la kuhimarisha kamati ili ziwe na uwezo wa kutoa taarifa nzuri za watoto pindi wanapozitembelea familia

kufanya uchambuzi wa taarifa kutoka field

-kuandaa taarifa ya mwezi

-kukabidhi taarifa kwa mratibu wa mradi