Fungua
TANZANIA YOUTH NEW FASHION

TANZANIA YOUTH NEW FASHION

Tabora, Tanzania

watoto wanaupunfufu mkubwa wa mahitaji yao ya msingi

wananchi washirikishwe kikamilifu katika suala zima la kuwahudumia watoto

walezi wanao wahudumia watoto wakipewa mitaji wanaweza kupata pesa ya kujikimu wao pamoja na watoto wao

upunfufu wa mahitaji ya msingi ya watoto

walezi wanao wahudumia watoto wakipewa mitaji wanaweza kuendesha maisha yao wenyewe bila kuendelea kutegemea misaada

walezi wajiunge kwenye vikundi vya worth ili waweze kuongeza kipato cha familia

-Idadi kubwa ya watoto wenye huitaji mkumbwa wamisaada

-baadhi ya watoto hawaja pelekwa shule na wamezidi umri wa kwenda shule.

c)idadi kubwa ya watoto ambao hawaja bainiwa

e)baadhi ya familia kama zikiboreshewa kipato zinaweza kujiendesha zenyewe

-baadhi ya watoto katika familia nyingi hazija waandikisha watoto shule na kama wakipelekwa shuleni wana weza kijifunza.

d)watoto hawaja andikishwa shule

c)watoto wanamapungufu makubwa ya mahitaji ya msingi kama vile chakula,elimu na mavazi

d)wananchi na jamii ishirikishwe katika suala zima la kuhudumia watoto walio katika mazingira hatarishi.

e)jamii imezoea kupewa(kupokea) misaada na siyo kujihusisha(kuhusika) katika suala la uchangiaji huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi

-wazazi na walezi wakiwezeshwa(kuboreshewa) uchumi katika familia wataweza kuwapa watoto wao huduma za msingi.

f)nguvu iongezwe katika suala la uhamasishaji jamii ili ifahamu (itambue) kuwa watotot wote ni sawa na jukumu la kuwalea (kuwatunza) ni la jamii mzima (yote)

g)kwa kutumia kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi (mvcc) familia zipwe elimu juu ya kuimarisha kipato ndani ya kaya (familia) kama vile, kwa kujiunga na mpango wa worth familia zitaweza kukidhi mahitaji yao ya msingi na mahitaji ya watoto

idadi ya mahudhurio haikua nzuri

maafisa watendaji waendelee kuwashawishi wananchi wao wahudhurie mikutano ili waweze kuchangia mawazo yao

watu hawapendelei mikutano kwa sababu wanaona inawapotezea muda wao wa kufanya shughuli zao nyingine za kuwaletea kipato

elimu zaidi itolewe kwa wananchi ili watambue umuhimu wa kuhudhuria mikutano

mahudhurio mabaya

waTU WANAJALI SHUGHULIZAO BINAFSI ZA KUWAINFIZIA KIPATO NA SI KUPOTEZA MUDA WAO KUHUDHURIA KWENYE MIKUTANO

ELIMU IENDELEE KUTOLEWA ZAIDI KWA WANANCHI ILI WATAMBUE HAKI YAO YA MSINGI YA KUTOA MAONI NA USHAURI WAO KUWA NINI KIFANYIKE KUTOKANA NA WWKMH

 

kuhamasisha na kushawishi jamii juu ya ushirikishwaji wao katika kuwalea mvccs

 

baadhi ya wananchi hawajui kiswahili, wanongea lugha za kikabila

ni vizuri tukiwa na wakalimani ambao watakuwa wanatusaidia kutafsiri lugha ili kila mtu aweze kuelewa na kuchangia maoni yake

lugha ni chombo cha mawasiliano kwa hiyobasi tukiwa na wakalimani jamii nzima itauelewa mradi wetu vizuri na ushiriki wao utakua mzuri pia

language barrier

kuna baadhi ya maeneo wananchi hawajui kiswahili wanaongea kisukuma na kinyamwezi tu kwahiyo mawasiliano yanakua magumu

kupitia wakalimali tunaweza kumaliza kabisa hili tatizo tunapokua kwenye mikutano

kushawishi na kuihamasisha jamii kuhusu ushiriki wao katika mradi wa pamoja tuwalee

wananchi bado wanauelewa mdogo kuhusiana na mradi wa pamoja tuwalee, wao wanadhani ni jukumu letu sisi maafisa  kuwaleawwkmh

elimu zaidi iendelee kutolewa ili watambue kuwa ni jukumu letu wote kuwalea kama mradi wenyewe unavyo jieleza.

wananchi hawapo serious katika kutambua majukumu yao ya kuwalea na kuwahudumia watoto waishio katika mazinfira hatarishi

un seriousness of the people

wanaelekezwa lakini hawapo makini kufuatilia yale wanayoelekezwa

motisha zitolewe kwa vile vijiji vitakavyokua vinatoa ushirikiano mzuri kwa maafisa wetu

 

mahudhurio ya wananchi yatakua mazuri zaidi endapo tutawafuata kwenye kata zao na si kuwakusanya sehemu moja

management iangalie uwezekano wa kufanya ipg meeting kwa kila kijiji na si kwa kila kata kama ilivyo kwa sasa ili kuwapa wananchi nafasi ya kuelezea mawazo yao kutoka katika bijiji vyao na si kwenda katani

kutokana na jiographia ya wilaya yetu ya sikonge baadhi ya kata vijiji vyake vipo mbalimbali sana kwahiyo si rahisi wananchi kukutana kwenye  kata moja. mfano kijiji cha matagata kipo mbali sana,

ipg meeting ifanyike kwa kila kijiji ili kuweza kutoa nafasi ya watu kutoa maoni yao wakiwa katika vijiji vyao

vijiji vingi vipo mbalimbali.. hii imesababisha watu wengi kushindwa kukutana katika eneo moja kutokana na umbali wa maeneo husika

d)ratiba ifanyiwe marekebisho kwani kutokana na umbali wa maeneo watu wengi wamekuwa wanachelewa kufika katika mhutano...hii inasababisha mkutano kuchelewa kuanza pia kuchelewa kwa shughuli nyingine

h)jamii imeelewa malengo ya mradi wa pamoja tuwalee  pia imeahidi kutoa ushirikiano katika kipindi chote cha utekelezaji wa mradi

koku.chalenji...jamii imezoea kupokea misaada kuliko kujitolea

--vikao kama hivi vya uhamasishaji jamii vifanyike mara kwa mara