c)baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mzingira hatarishi hawawezi kuandika na kusoma vizuri.
d)kamati zikaguliwe ili kuweza kujua ni wanakamati wangapi wanauwezo wa kuandika na kusoma vizuri na ni wangapi hawajui kusoma na kuandika.
e)nimejifunza kwamba wakati walipokuwa wanateuliwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo.
f)kamati zifanyiwe marekebisho
g)wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe watakao kuwa na vigezo vya kuweza kuwa katika kamati.
h)kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi zijengewe uwezo ... wanakamati wapatiwe mafunzo ili kuleta ufanisi katika kazi zao za kila siku hii itawasaidia kuweza kuandika taarifa na kujaza fomu zote zitakazotumiwa na wanakamati wakati wa utekelezaji wa mradi wa pamoja tuwalee