Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
TAARIFA YA UHUWITSHAJI WA TAARIFA ZA WATOTO WANAOIHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI KATIKA KATA YA TUTUO-SIKONGE TAREHE 22.06.20012
Kutokana nautafiti uliofanyika imeonesha kwamba watoto walio katoka mazingita hatarishi walio chini ya miaka 18 ni 220, wanawake wakiwa ni123 na wanaume ni 97. Kulingana na takwimu hizo wafadhili na wadau wa maendeleo wameziomba kamati za watoto waishio katika mazingira hatarishi kuweza kuzibaini familia zinazolea watoto hao na kuwasajili katika fomu za usajili wa familia ili waweze kupatiwa huduma kulingana na mahitaji yao.
MAFANIKIO
Wazazi na walezi watoto wameelewa na kutumia mbinu mbadala walizopewa kwa njia ya mafunzo juu ya kutumia rasilimali walizonazo kujiingizia kipato
Ibitekerezo (0)