Log in
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO)

ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO)

MOSHI, Tanzania

  1. Kuunganisha wazazi katika kampeni ya kutokomeza UKIMWI
  2. Kutoa elimu ya UKIMWI katika jamii ya Rombo hususani wanawake
  3. kutoa elimu ya jinsia katika jamii
  4. kutoa elimu ya uraia hususani wanawake
  5. kusaidia makundi ya wasiojiweza kujikwamua kutoka  kwenye utegemezi makundi hayo yatima,wajane,watoto walio katika mazingira magumu,walemavu na watu wanaoishi na virusi vya ukimwi 
  6. Kutoa elimu ya mazingira kwenye jamii na kujiusisha na kampeni ya kupiga vita uharibifu wa mazingira kwa kuotesha miti na uhifadhi wa vyanzo vya maji
Latest Updates
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) has a new message in the discussion wanawake na maendeleo.
HOPE FOR NEW GENERATION: @ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO): kwa maoni yangu vikwazo ni vingi ila kimoja wapo ni ushirikishwaji usio sahihi kwa wanawake na wanaume katika miradi ya maendeleo endapo miradi inayoanzishwa katika jamii itafanyika kwa kuwashirikisha kwa ukamirifu wanaume na wanawake basi miradi ya wanawake ingekuwa... Read more
December 21, 2014
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) has a new discussion about wanawake na maendeleo.
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO): nani ni kikwazo cha maendeleo ya wanawake 1,wanawake wenyewe? wanawaume? mifumo ya utawala?
November 22, 2014
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) added 6 News updates.
November 22, 2014
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) added CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA to its list of Partner Organizations.
November 22, 2014
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) added Temeke Youth Development Network to its list of Partner Organizations.
November 22, 2014
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) added MWANAMBOGO UNITED YOUTH DEVELOPMENT to its list of Partner Organizations.
November 22, 2014
Sectors
Location
MOSHI, Kilimanjaro, Tanzania
See nearby organizations