mratibu wa shiriki la Asasi ya jinsia na maendeleo Rombo akipitia mada mbalimbali kipindi cha utekelezaji wa mradi huo
muhasibu wa shirika la Asasi ya jinsia na maendeleo Rombo akiwa nje ya ukumbi wa mafunzo kipindi cha utekelezaji wa mradi wa uongozi na wanawake
muwandi wa TBC1 akimuhoji mshiriki wa mafunzo ya uongozi na wanawake kipindi cha utekekleza wa mradi huo uliofadhiliwa na The foundarion for civil SOcity na kutekelezwa na Asasi ya jinsia na maendeleo Rombo
washriki wa semina wakipata chakula baada ya mapumziko kipindi cha utekelzaji wa mradi wa uongozi na wanawake mradi uliotekelezwa na Asasi ya jinsia na maendeleo Rombo na kufadhiliwa na The foundation for civil Society