Log in
Temeke Youth Development Network

Temeke Youth Development Network

TEMEKE/CHANG'OMBE, Tanzania

To be a leading youth network in Tanzania which facilitates youth to be responsible in behaviour change and play a significant role in social political and economic activities.

To be a ward youth center and youth based NGO's stategic leader, supervisor and capacity builder..

Latest Updates
Temeke Youth Development Network added a News update.
TEYODEN YASHIRIKIANA NA WILAC KUJENGA UWEZO WA VIJANA KUKABILIANA NA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE. – Katibu waTEYODEN mwenyekiti na Mkurugenzi wa WILAC wamefanya kikao cha makubaliano ya ushirikiano ili kuwezesha vijana kuchukua majukumu katika kuhakikisha kuwa matatizo ya ukatili dhidi ya wanawake katika... Read more
January 24
Temeke Youth Development Network updated its Donation page.
This page is under construction..
January 23
Temeke Youth Development Network added a News update.
TEYODEN yaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana. – Mtandao wa vijana upo katika harakati za kuinua uelewa wa vijana katika masuala ya ujasiriamali kwa vijana ambao wapo tayari kubadilisha maisha yao kutokana na kubadili mitazamo yao kutoka kukaa tu vijiweni au kumaliza shule/chuo na kulandalanda mtaani bila... Read more
June 9, 2016
Temeke Youth Development Network added a News update.
USHIRIKI WA MTANDAO WA VIJANA NA MATUKIO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI TAREHE 1/12/2014 Read more
January 10, 2015
Temeke Youth Development Network added a News update.
MABADILIKO KWA WALENGWA WA MRADI WA MABINTI WALIO PEMBEZONI YAENDELEA KUONEKANA.“Mafunzo ya stadi za maisha,elimu ya ujasiriamali na uwezeshaji wa mtaji wa kuanzia biashara umenifanya nibadilishe mtazamo na matendo yangu kuelekea kwenye hatua za mabadiliko”anasema Nuru... Read more
July 3, 2014
Temeke Youth Development Network added a News update.
VIJANA MANISPAA YA TEMEKE SASA KAENI MKAO WA KULA. – TEYODEN katika hatua ya kutia moyo wamepata nafasi ya kuwa na mwalimu wa ujasiriamali aliyewezeshwa na ILO kupatiwa mafunzo ya anzisha na kuza wazo la biashara.Start and improve your business idea (SIYB). – Baada ya mafunzo haya,moja ya kazi za mwezeshaji huyu ni... Read more
May 17, 2014
Sectors
Location
TEMEKE/CHANG'OMBE, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations