Base ((ururimi rutazwi)) |
Kinyarwanda |
- Kuunganisha wazazi katika kampeni ya kutokomeza UKIMWI
- Kutoa elimu ya UKIMWI katika jamii ya Rombo hususani wanawake
- kutoa elimu ya jinsia katika jamii
- kutoa elimu ya uraia hususani wanawake
- kusaidia makundi ya wasiojiweza kujikwamua kutoka kwenye utegemezi makundi hayo yatima,wajane,watoto walio katika mazingira magumu,walemavu na watu wanaoishi na virusi vya ukimwi
- Kutoa elimu ya mazingira kwenye jamii na kujiusisha na kampeni ya kupiga vita uharibifu wa mazingira kwa kuotesha miti na uhifadhi wa vyanzo vya maji
|
|
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga
Injira ·
Iyandikishe