Log in
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Kyela, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Practice makes them perfect. English is the medium of instruction, it is a bridge to pass, they must learn how.

large.jpg

we encourage girls to participate in English speaking campaign

large.jpg

The chairman, mr. Bageni attending an intra school debate at sumaye secondary school chato Geita

large.jpg

kushot ni makamu mwenyekiti na mwenyekiti wakiwa chuo kikuu cha dar es salaam walipohudhuria mdahaloNkurumah hall

large.jpg

Afisa utumishi na fedha wa temoa

Kilimo ndio uti wa mgongo wa Tanzania wote waishio vijijini na ndio chanzo kikuu cha kipato kinachotumika kusomesha watoto wao. Ili kujihakikishia kuwa kila mtoto anapata haki ya kupata elimu ni muhimu kuwahakikishia wakulima kilimo chenye tija na masoko ya uhakika. Kuongeza wataalamu vijijini na kuwaelimisha wakulima namna bora ya kulima kama biashara ili waone manufaa ya kilimo. Lakini haya hatutayafikia kwa Jembe la mkono katu. Jembe la mkono ni mate so na haliwavutii vijana kujiingiza katika kilimo. Siku ya Leo TEMOA tunaishauri serikali kugeukia sekta hii mama na kurekebsha kero hizo. Angalau tusikie pembejeo za kilimo zinaondolewa kodi kabisa na bei zishuke ili mkulima wa kawaida kutoka nyarutefye, ipande!, inchwankima, kazuramimba, rudewa, isimani na kwingineko naye aweze kuipata. Tunawatakià nane nane njema wakulima wote duniani TEMOA kisima cha maarifa
we recognize the significances of education and this serve as our motivation to motivate and promote education in Tanzania rural areas. Most children are vulnerable of ignorance because of massive drop outs in rural primary and secondary schools. we want to motivate these children, we want to raise their awareness, we want to educate them, we want to support them, we want to encourage their way to success and finally challenge them so that they can feel the ownership of the knowledge. The KYELA Academic champions Awards is the project to be implemented by TEMOA in KYELA districts. we request your hand in order to do this.
TEMOA inawatakia waislam wote sikukuu njema ya eid na mwenyezi mungu awajaze rehema na upendo daima. Ujumbe: Mpatie mtoto elimu bora ili amjue mwenyezi mungu kwa haki na kweli. Elimu ni chanzo cha maarifa.

AJIRA MPYA KWA WALIMU 2015:

A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya
 
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-
 
i. walimu wa cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 11,366;
 
ii. walimu wa stashahada 4,151 na shahada 12,490 kwa ajili ya shule za sekondari
 
iii. mafundi sanifu maabara 264 kwa ajili kusimamia maabara na kuandaa masomo ya sayansi kwa vitendo katika shule za sekondari

B: Utaratibu Ajira Mpya kwa Walimu na Mafundi Sanifu Maabara
Kila mwajiriwa mpya anatakiwa kuzingatia yafuatayo:-
 
i. walimu wenye sifa waliohitimu mafunzo kwa mwaka wa masomo 2013/14 wamepangwa pamoja na walimu wa sekondari wa masomo ya sayansi na hisabati waliohitimu miaka ya nyuma na wameomba kuajiriwa;
 
ii. kuripoti kuanzia tarehe 01 Mei hadi 09 Mei 2015 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ajili ya kuajiriwa na kupangwa vituo vya kazi;
 
iii. kuwasilisha vyeti halisi vya taaluma ya kuhitimu mafunzo, elimu ya sekondari, cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake;
 
iv. hakutakuwa na mabadiliko ya vituo vya kazi; na
 
v. fedha za kujikimu kwa muda wa siku saba (7) na nauli ya usafiri wa magari (ground travel) zitatolewa kwenye halmashauri husika baada ya kuripoti.
 
Bonyeza  Hapo Chini Kuona  Orodha  Ya  Majina:
1.Ajira za walimu wa cheti (Shule ya msingi)>>>
 
 2.Ajira za walimu wa sayansi wa shahada na stashahada kwa mwaka 2015

3.Ajira za walimu wa masomo ya sanaa na biashahara ngazi ya shahada na stashahada kwa mwaka 2015

TEMOA Tz inawatakia kila laheri wale wote waliopata fursa hii, pia inasisitiza kuwa wachapakazi na mfano bora kwa jamii, Ahsanteni!!!!