Log in
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Kyela, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Kilimo ndio uti wa mgongo wa Tanzania wote waishio vijijini na ndio chanzo kikuu cha kipato kinachotumika kusomesha watoto wao. Ili kujihakikishia kuwa kila mtoto anapata haki ya kupata elimu ni muhimu kuwahakikishia wakulima kilimo chenye tija na masoko ya uhakika. Kuongeza wataalamu vijijini na kuwaelimisha wakulima namna bora ya kulima kama biashara ili waone manufaa ya kilimo. Lakini haya hatutayafikia kwa Jembe la mkono katu. Jembe la mkono ni mate so na haliwavutii vijana kujiingiza katika kilimo. Siku ya Leo TEMOA tunaishauri serikali kugeukia sekta hii mama na kurekebsha kero hizo. Angalau tusikie pembejeo za kilimo zinaondolewa kodi kabisa na bei zishuke ili mkulima wa kawaida kutoka nyarutefye, ipande!, inchwankima, kazuramimba, rudewa, isimani na kwingineko naye aweze kuipata. TunawatakiĆ  nane nane njema wakulima wote duniani TEMOA kisima cha maarifa
August 8, 2015
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.