Log in
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Kyela, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kyela hatarini kwa mafuriko tena:

Kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Kyela mkoani Mbeya. kuna taarifa kuwa maji yameshaanza kuingia kwenye kaya za watu.

Inasemekana kuwa baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wameshaanza kukimbia makazi yao kuelekea sehemu za mwinuko ili kunusuru maisha na kuokoa mali zao......

Ongezeko la idadi ya shule katka jamii linapaswa kwenda sambamba na ongezeko la ubora wa huduma kwa watoto. Ukubwa wa tatizo la waalimu linaweza kukwamisha kwa kiasi kikubwa ufanisi wa sera na mipango ya maendeleo ya kielimu. Tunashauri serikali iboreshe mazingira ya walimu kwa kuwapatia makazi na huduma za kijamii ktk maeneo ya shule wanazopangiwa ili waweze kubaki vituoni. Kwa mtazamo wetu, chanzo cha uhaba wa walimu wa sayansi ni mazingira mabovu ktk shule za serikali kwani ktk shule za sekta binafsi hakuna uhaba huu kwa mujibu wa tafiti mbali mbali zilizofanywa. Inaonekana shule za serikali zinaongoza kwa kukosa waalimu wa masino ya sayansi kwani wengi wanakimbilia huko ambako wanapata huduma bora na kuwa na furaha kyk kazi zao. Ikumbukwe kuwa lengo la maazimio ya mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania ni mwanachama ni kuhakikisha kila binafamu anapata elimu stahiki na si kuongeza idadi ya wanafunzi tu. Mwisho shirika linatoa wito kwa wazazi kuona umuhimu wa kuwakarimu waalimu wapya ili waweze kujisikia vizuri wawapo kwenye jamii zao. Tunaomba tuwaunge mkono vijana hawa ili waweze kutufundishia vijana wetu. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI TEMOA.
The organization is happy to tell the public that it is in its last steps to prepare an accademic champions in this year. we will have a stiff academic competition in kyela diatrict. we are working on budgetary issues to implement the project. we will need your support. thanks and keep in touch. By Bageni, The chairman

large.jpg

Mr. Festo Moses M. katibu mkuu wa shirika call: 0755711650

large.jpg

Mr. Benedict M Bageni Mwenyekiti Mtendaji wa shirika call:0757918700/0682914473