Log in
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Kyela, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Mr. Beedict Bageni Mwasokwa.

Huyu ndiye mwenyekiti mtendaji wa shirika na mwanachama mwasisi kabisa wa shirika hili. Anashahada ya ualimu katika sayansi ya siasa na lugha ya kingereza kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam. Pia ni mtaalam wa masuala ya project planning and management alioupata kutoka chuo kikuu cha dar es salaam. amewekeza nguvu na muda wake mwingi katika shughuli za shirika kwani anafanyakazi za kujitolea mara zote kwa ajili ya maendeleo ya shirika. Ni mtumuhimu sana kwa ustawi wa jamii ya watanzania kwani ana hazina kubwa sana ya ubunifu utakaoweza kuikomboa jamii ya watanzania hasa waishio vijijini ili iweze kupata maendeleo. Contacts; Phone no. +255757918700.

Mr. moses Festo Mwang'onda

Ni katibu mkuu wa shirika hili na ni mwanachama mwasisi wa shirika. Ni mwalimu kwa taaluma, ana shahada ya ualimu kutoka katika chuo kikuu cha dar es salaam katika sayansi ya siasa na kiswahili (political science and kiswahili language). Ni mtu muhimu sana katika jitihada za shirika letu na anatumia muda wake mwingi kushirikiana na viongozi wenzake akiwemo mwenyekiti kuhakikisha shughuli za shirika zinasonga mbele. 

Mr. Dominic Andongolile Mwaisyungu.

Huyu ni afisa wa fedha yaani mtunza fedha wetu na mwanachama mwasisi wa shirika hili. Yeye ni mtaalam wa mambo ya biashara na uchumi kwani ana shahada ya usimamizi wa biashara na uchumi kutoka chuo kikuu cha mtakatifu augustine cha mwanza. Ndiye mshauri mkuu wa shirika kuhusu masuala ya fedha na anajituma sana kusimamia shughuli za shirika kama mjumbe wa kamati tendaji ya shirika. Anatumia muda wake mwingi katika shughuli za shirika letu.

Mr. Alinanuswe Wiliam

Huyu ni mratibu wa kitengo cha tecnhnolojia ya mawasiliano na mwanachama mwasisi wa shirika hili. Ana shahada katika taaluma ya sayansi ya kompyuta kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam. Ndiye msimamizi mkuu wa masuala yote ya mawasiliano ya shirika na ndiye anahusika na uratibu wa njia zote za mawasiliano kiteknolojia ya kompyuta katika shirika. anajituma kuhakikisha shirika linakwenda sawa sawa na kasi ya maendeleo ya sayansi nateknolojia. Contacts; Phone no. +255764873867, Email: gnouswey@yahoo.com