Log in
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Kyela, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

To transform the Tanzanian's rural areas community to understand the significance of education for economic, social and political development

Latest Updates
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA added a News update.
MIKOPO NI MUHIMU SANA CHUONI KULIKO TUNAVYOICHUKULIA – kwa muda mrefu sasa agenda ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imekuwa ikigonga vichwa sana katika jamii. Wengi huamini kuwa mkopo wa chuo hautumiki kama inavyotakiwa na wengine huchukuia kuwa kuwapa mkopo wanafunzi wa... Read more
November 19, 2017
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA added a News update.
Je, Pesa ya elimu bure imefanya kazi iliyokusudiwa? Je, ni changamoto zipi zinaikumba sekta ya elimu juu ya utekelezaji wa Mpango wa Elimu Bure? ... Read more
May 31, 2017
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA added a News update.
KWA WANAOTAKA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016...TAZAMA HAPA – http://41.188.172.30/matokeo/index.htm
February 1, 2017
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA added a News update.
MAONI YA TEMOA KUHUSU ADHABU YA MWANAFUNZI MBEYA DAY SEKONDARIKwa masikitiko makubwa tunapenda kutoa pole kwa wale wote walioathirika kwa namna moja ama nyingine kutokana na kitendo, maamuzi, ama hatua zilizochukuliwa na upande wowote juu ya suala... Read more
October 16, 2016
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA added 4 News updates.
KWA WALE WANAOSUBIRIA AJIRA SERIKALINI: – Tujaribu kuangalia hata fursa zingine zilizondani ya jamii zetu, temoa tunawashauri wajaribu kufuga kuku au wanyama wengine kisasa. Inalipa sana tu, kabla tangazo zuri au baya halijatolewa tena kwako endelea kufanya... Read more
July 16, 2016
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA added a News update.
TEMOA YAUNGA MKONO MABADILIKOYA MFUMO WA KUTUNUKU MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA NNE KWA ELIMU YA SEKONDARI – Ni muhimu kutambua kuwa miongoni mwa changamoto kubwa za elimu hapa nchini ni matokeo mabaya. Kwa miaka kadhaa mpaka mapema mawaka... Read more
March 4, 2016
Other Websites
Sectors
Location
Kyela, Mbeya, Tanzania
See nearby organizations