Log in
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Kyela, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

MWALIMU OMARY AKIWABURUDISHA WATOTO WALIOFANYA VIZURI KWA BIGIJII KUTOKA TEMOA

large.jpg

MAKAMU MKUU WA SHULE AKIHUTUBIA WANAFUNZI SIKU YA KUFUNGA SHULE KABLA YA KUTANGAZA MATOKEO NA KUGAWA ZAWADI KUTOKA TEMOA

large.jpg

KUMI BORA YA KIDATO CHA KWANZA SUMAYE SEKONDARI

large.jpg

WOTE WANA DISTINCTION KIDATO CHA KWANZA....TUNAWATAMBUA NA KUWAZAWADIA

large.jpg

WANAFUNZI HAWA WALIFAULU MTIHANI WA KUFUNGA MWAKA KIDATO CHA KWANZA KWA GPA YA 5.0. TEMOA ILIWATAMBUA NA KUWAZAWADIA

large.jpg

MWALIMU OMARY MOHAMED AKIMSAIDIA MWENYEKITI WA TEMOA KUGAWA VIBURUDISHO (BABLISH) KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KABLA HAWAJAPOKEA ZAWADI YA DAFTARI

large.jpg

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI SUMAYE WAKIMSIKILIZA MWENYEKITI WA TEMOA

large.jpg

MWENYEKITI AKIENDELEA KUTOA HAMASA KWA WANAFUNZI SUMAYE

large.jpg

MWENYEKITI MTENDAJI AKIONGEA NA WANAFUNZI WILAYANI CHATO