Injira
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA

Kyela, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

To transform the Tanzanian's rural areas community to understand the significance of education for economic, social and political development

Amakuru agezweho
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA yashyizeho Amakuru agezweho.
MIKOPO NI MUHIMU SANA CHUONI KULIKO TUNAVYOICHUKULIA – kwa muda mrefu sasa agenda ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imekuwa ikigonga vichwa sana katika jamii. Wengi huamini kuwa mkopo wa chuo hautumiki kama inavyotakiwa na wengine huchukuia kuwa kuwapa mkopo wanafunzi wa... Soma ibindi
19 Ugushyingo, 2017
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA yashyizeho Amakuru agezweho.
Je, Pesa ya elimu bure imefanya kazi iliyokusudiwa? Je, ni changamoto zipi zinaikumba sekta ya elimu juu ya utekelezaji wa Mpango wa Elimu Bure? ... Soma ibindi
31 Gicurasi, 2017
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA yashyizeho Amakuru agezweho.
KWA WANAOTAKA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016...TAZAMA HAPA – http://41.188.172.30/matokeo/index.htm
1 Gashyantare, 2017
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA yashyizeho Amakuru agezweho.
MAONI YA TEMOA KUHUSU ADHABU YA MWANAFUNZI MBEYA DAY SEKONDARIKwa masikitiko makubwa tunapenda kutoa pole kwa wale wote walioathirika kwa namna moja ama nyingine kutokana na kitendo, maamuzi, ama hatua zilizochukuliwa na upande wowote juu ya suala... Soma ibindi
16 Ukwakira, 2016
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA yongeyeho 4 Amakuru agezweho.
KWA WALE WANAOSUBIRIA AJIRA SERIKALINI: – Tujaribu kuangalia hata fursa zingine zilizondani ya jamii zetu, temoa tunawashauri wajaribu kufuga kuku au wanyama wengine kisasa. Inalipa sana tu, kabla tangazo zuri au baya halijatolewa tena kwako endelea kufanya... Soma ibindi
16 Nyakanga, 2016
Tanzania Educational Motivation Alliance-TEMOA yashyizeho Amakuru agezweho.
TEMOA YAUNGA MKONO MABADILIKOYA MFUMO WA KUTUNUKU MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA NNE KWA ELIMU YA SEKONDARI – Ni muhimu kutambua kuwa miongoni mwa changamoto kubwa za elimu hapa nchini ni matokeo mabaya. Kwa miaka kadhaa mpaka mapema mawaka... Soma ibindi
4 Werurwe, 2016
Izindi mbuga
Ibyiciro
Aho uherereye
Kyela, Mbeya, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye