Log in
JINSIA NA MAENDELEO

JINSIA NA MAENDELEO

TABORA, Tanzania

KUBUNI MBINU MBADALA ZA KUPAMBANA NA UMASKINI,ILI KUINUA HALI ZA MAISHA YA WATU WA KAWAIDA KWA KUZINGATIA MGAWANYO WA MAJUKUMU KIJINSIA.

JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA)

Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.Shirika hili lilianzishwa mwaka 2004 na lilipata usajili wa kudumu mwaka 2006, namba ya usajili 00NGO/1707 chini ya ya sheria ya NGO ya mwaka 2002.Kwa sasa shirika linamatawi katika wilaya ya Urambo mkoani Tabora.Pia JINAMA inashugulika na mambo yanayohusu maendeleo ya jamii,hasa katika nyanja ya mazingira,afya,elimu na ustawi wa jamii.Ofisi zetu zipoTabora mjini jengo la idara ya maji zamani,eneo la bachu.

 

Latest Updates
JINSIA NA MAENDELEO added a News update.
July 14, 2013
JINSIA NA MAENDELEO created a Home page.
KUBUNI MBINU MBADALA ZA KUPAMBANA NA UMASKINI,ILI KUINUA HALI ZA MAISHA YA WATU WA KAWAIDA KWA KUZINGATIA MGAWANYO WA MAJUKUMU KIJINSIA. – JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA) – Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.Shirika... Read more
July 14, 2013
JINSIA NA MAENDELEO updated its Team page.
JINSIA NA MAENDELEO (JINAMA)LINAUONGOZI KAMILI.WAFUATAO NI VIONGOZI: – VERDIANA P.MIZENGO-KATIBU MTENDAJI. DANIEL NDOTT-MRATIBU. SELEMANI SHABANI-MHASIBU. ALPHONCE CHARLES-MWANASHERIA. ZENA MAGESA -MJUMBE.
July 11, 2013
JINSIA NA MAENDELEO updated its Projects page.
Jinsia na Maendeleo nishirika lisilio la kiserikali,linashughulika na mabo yafuatayo: – AFYA. Mazingira. Ustawi wa jamii na Wanawake. Elimu. ... Read more
July 10, 2013
JINSIA NA MAENDELEO updated its History page.
JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA) – Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.Shirika hili lilianzishwa mwaka 2004 na lilipata usajili wa kudumu mwaka 2006, namba ya usajili 00NGO/1707 chini ya ya sheria ya NGO ya mwaka 2002.Kwa sasa shirika linamatawi katika wilaya ya Urambo mkoani Tabora.Pia JINAMA... Read more
July 10, 2013
JINSIA NA MAENDELEO created a History page.
JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA) – Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.Shirika hili lilianzishwa mwaka 2004 na lilipata usajili wa kudumu mwaka 2006, namba ya usajili 00NGO/1707 chini ya ya sheria ya NGO ya mwaka 2002.Kwa sasa shirika linamatawi katika wilaya ya Urambo mkoani Tabora.Pia JINAMA... Read more
July 8, 2013
Sectors
Location
TABORA, Tabora, Tanzania
See nearby organizations