Fungua
JINSIA NA MAENDELEO

JINSIA NA MAENDELEO

TABORA, Tanzania

KUBUNI MBINU MBADALA ZA KUPAMBANA NA UMASKINI,ILI KUINUA HALI ZA MAISHA YA WATU WA KAWAIDA KWA KUZINGATIA MGAWANYO WA MAJUKUMU KIJINSIA.

JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA)

Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.Shirika hili lilianzishwa mwaka 2004 na lilipata usajili wa kudumu mwaka 2006, namba ya usajili 00NGO/1707 chini ya ya sheria ya NGO ya mwaka 2002.Kwa sasa shirika linamatawi katika wilaya ya Urambo mkoani Tabora.Pia JINAMA inashugulika na mambo yanayohusu maendeleo ya jamii,hasa katika nyanja ya mazingira,afya,elimu na ustawi wa jamii.Ofisi zetu zipoTabora mjini jengo la idara ya maji zamani,eneo la bachu.

 

Mabadiliko Mapya
JINSIA NA MAENDELEO imeongeza Habari.
14 Julai, 2013
JINSIA NA MAENDELEO imeumba ukurasa wa Mkuu.
KUBUNI MBINU MBADALA ZA KUPAMBANA NA UMASKINI,ILI KUINUA HALI ZA MAISHA YA WATU WA KAWAIDA KWA KUZINGATIA MGAWANYO WA MAJUKUMU KIJINSIA. – JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA) – Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.Shirika... Soma zaidi
14 Julai, 2013
JINSIA NA MAENDELEO imehariri ukurasa wa Timu.
JINSIA NA MAENDELEO (JINAMA)LINAUONGOZI KAMILI.WAFUATAO NI VIONGOZI: – VERDIANA P.MIZENGO-KATIBU MTENDAJI. DANIEL NDOTT-MRATIBU. SELEMANI SHABANI-MHASIBU. ALPHONCE CHARLES-MWANASHERIA. ZENA MAGESA -MJUMBE.
11 Julai, 2013
JINSIA NA MAENDELEO imehariri ukurasa wa Miradi.
Jinsia na Maendeleo nishirika lisilio la kiserikali,linashughulika na mabo yafuatayo: – AFYA. Mazingira. Ustawi wa jamii na Wanawake. Elimu. ... Soma zaidi
10 Julai, 2013
JINSIA NA MAENDELEO imehariri ukurasa wa Historia.
JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA) – Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.Shirika hili lilianzishwa mwaka 2004 na lilipata usajili wa kudumu mwaka 2006, namba ya usajili 00NGO/1707 chini ya ya sheria ya NGO ya mwaka 2002.Kwa sasa shirika linamatawi katika wilaya ya Urambo mkoani Tabora.Pia JINAMA... Soma zaidi
10 Julai, 2013
JINSIA NA MAENDELEO imeumba ukurasa wa Historia.
JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA) – Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.Shirika hili lilianzishwa mwaka 2004 na lilipata usajili wa kudumu mwaka 2006, namba ya usajili 00NGO/1707 chini ya ya sheria ya NGO ya mwaka 2002.Kwa sasa shirika linamatawi katika wilaya ya Urambo mkoani Tabora.Pia JINAMA... Soma zaidi
8 Julai, 2013
Sekta
Sehemu
TABORA, Tabora, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu