Log in
JINSIA NA MAENDELEO

JINSIA NA MAENDELEO

TABORA, Tanzania

large.jpg

Bw.Daniel Ndott,akifundisha kufundisha wananchi wa kata ya itonjanda waliojitikeza katika mkutano wa hadhala,kuhusu watoto walio katika mazingira hatarishi.

large.jpg

Baadhi ya wtoto wanaojilea baada ya wazazi kuwatelekeza,katika kata ya ndevelwa manispaa ya Tabora.

large.jpg

Afisa mmojawapo wa JINAMA,katika mikutano na wananchi,kuhusu watoto walio katika mazingira hatarishi.

large.jpg

Bi Verdiana Mizengo,akitoa ufafanuzi katika moja ya majukumu ya jinama vijijini.

large.jpg

Wananchi waliokusanyika katika mikutano wakati wa utekelezaji mradi wa watoto waishio katika mazingira hatarishi.

large.jpg

Mmoja wa maafisa wa wa shirika la jinama katika mikutano ya hadhala na wananchi akielezea jambo.