Log in
JINSIA NA MAENDELEO

JINSIA NA MAENDELEO

TABORA, Tanzania

JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA)

Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.Shirika hili lilianzishwa mwaka 2004 na lilipata usajili wa kudumu mwaka 2006, namba ya usajili 00NGO/1707 chini ya ya sheria ya NGO ya mwaka 2002.Kwa sasa shirika linamatawi katika wilaya ya Urambo mkoani Tabora.Pia JINAMA inashugulika na mambo yanayohusu maendeleo ya jamii,hasa katika nyanja ya mazingira,afya,elimu na ustawi wa jamii.Ofisi zetu zipoTabora mjini jengo la idara ya maji zamani,eneo la bachu.