Log in
JINSIA NA MAENDELEO

JINSIA NA MAENDELEO

TABORA, Tanzania

Jinsia na Maendeleo nishirika lisilio la kiserikali,linashughulika na mabo yafuatayo:

  1. AFYA.
  2. Mazingira.
  3. Ustawi wa jamii na Wanawake.
  4. Elimu.

Kwa sasa shirika linamalizia kutekeleza mradi unaohusu watoto waishio katika mazingira hatarishi katika manispaa ya tabora mjini,Mradi huu umefadhiliwa na The foundation for civil society,Pia shirika la JINAMA linategemea muda si mrefu kutekeleza mradi wa kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa wanafunzi walio katika shule za msingi na secondary katika wilaya ya Urambo mkoani Tabora.Jinsia na maendeleo tunatekeleza vilevile kutoa elimu ya ufundi wa bidhaa kwa wajasilia mali kwa nadhalia na vitendo,mfano utengenezaji wa sabuni za mche,sabuni za unga,sabuni za maji,utengenezaji batiki na n.k.