Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Onyesha picha za athari za mafuriko kwenye mtaa wako (ikiwezekana):

Mkazi wa tandale akiwa anajaribu kuezeka nyumba yake baada ya mafuriko
Takataka nyingi sehemu
Mama anaomba msaada wa kujengewa nyumba
Mkazi wa Tandale kwa mtogole akiwa anavuka kwenye daraja la muda
Baada ya mafuriko
Unacho kiona ni uchafu ulioletwa na maji ya mafuriko
Kituo cha watoto wadogo kikiwa kimeathiriwa na mafuriko
Hata huduma ya choo imebadolika
Mama akiwa anapikia nje kwa sababu ya kukosa sehemu ya kupikia
Baadhi ya vifaa vya ndani vikiwa nje baada ya mafuriko
Mtoto akiwa anasubiria kujua hatima
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti