How has your daily life been affected by the flooding?
Maisha yamebadilika
(No Response)
Maisha yamebadilika
Barabara hakuna
Maisha yamebadilika sana yamkuwa ya shida
Wanangu bado hawajaanza shule
Ninaishi kwa mashaka
Maisha yangu ya mekosa muelekeo baada tu ya mafuriko
Nilazimika kurudisha familia kijijini Moshi ili nianze kuhangaika upya.Kwa sasa natafuta chumba cha kupanga Mbagala.
maisha hayasemeki ni magumu sana
kwa hakika maisha yamekuwa magumu sana
hatuna mwelekeo wa maisha tena kwa sasa
maisha yamekuwa magumu sana kwa upande wetu
kuanza maisha upya na kuathirika kisaikolojia
tumeathirika sana kiafya
maisha yamekuwa magumu sana
maisha yamekuwa magumu sana hatujui jinsi ya kuishi
Maisha yangu yamebadilika na mashaka yameongezeka na usalama umepungua sana
Nimerudi kwenye maisha ya ufukara.
« Back to report