Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

How has your daily life been affected by the flooding?

Hakuna biashara kabisa kwani sina hela na nimeadhirika kiakili sijui wapi pa kuanzia tena.Vitu vyote havifai kabisa. na Njia zimeharibika na madaraja kiasi kuwa nakosa kabisa mawasiliano
increased spending by hosting relative affected by flood
Kwa kweli nimeadhirika hata kiakili sijui hata nianzie wapi.sina hela,vyombo vyote vimeharibika.Sina tena usafiri,sina mahali pa kuishi.Watoto wanapata shida sana
Miundombinu yote imeharibika, na hakuna uwezekano wa kuyarudisha bila msaada
Verry terible life, no food to eat, no clothes, no shelter, no school uniform to students no altenative to start a new life.
Price of food rises up unprecedented,this is due to problem of transportation following recent floods destroying infrastructure. Also outbreaks of epidemic diseases such as cholera and the like.
gharama ya maisha kupanda sana na kukosa huduma muhimu kama chakula
« Previous questionNext question »

« Back to report