Log in
ZANZIBAR ENVIRONMENTAL SOCIETY FOR THE PROTECTION OF ANIMALS (ZESPA)

ZANZIBAR ENVIRONMENTAL SOCIETY FOR THE PROTECTION OF ANIMALS (ZESPA)

Zanzibar, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

ZESPA ni jumuiya isiyo ya kiserikali ambayo imeanzishwa mwaka 2000,yenye no.ya usajili...........

May 27, 2011
Next »

Comments (2)

pandu juma (zanzibar) said:
nasikitika kusema kuwa wakati wa kutengeneza website hii wenyewe hawakuwa makini kwani taarifa zilizooandikwa zinapishana kutoka sehemu moja na nyengine, kama utaangalia utakuta sehemu nyengine inasema jumuiya hii imeanzishwa 2004 lakini katika web hiii hii kunasehemu imeandikwa kuwa jumuiya imeanzishwa 2000.

Naomba waangalie vizuri kwa hapa inaonesha aidha jumuiya yenyewe haipo au kama ipo basi wahusika waifahamu juiya wanayoiongoza imeanzishwa lini hasa. Ushauri wangu waifanyie marekebisho ambayo yatakuwa yanatoa taarifa sahihi za jumuiya na sio kukurupuka kuandika vitu ambavyo havina msingi wowote.
February 10, 2012
pandu juma (zanzibar) said:
Pia ningependa kutembelea hii jumuiya na kuifahamu zaidi, hivyo naomba wanifahamishe ni wapi ofisi zao zinapatikana na vipi nitawapata, naomba wanifahamishe kupitia email address yangu (pandujuma@gmail.com)
February 10, 2012

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.