nasikitika kusema kuwa wakati wa kutengeneza website hii wenyewe hawakuwa makini kwani taarifa zilizooandikwa zinapishana kutoka sehemu moja na nyengine, kama utaangalia utakuta sehemu nyengine inasema jumuiya hii imeanzishwa 2004 lakini katika web hiii hii kunasehemu imeandikwa kuwa jumuiya imeanzishwa 2000. – Naomba waangalie vizuri kwa hapa inaonesha aidha jumuiya yenyewe haipo au kama ipo basi wahusika waifahamu juiya wanayoiongoza imeanzishwa lini hasa. Ushauri wangu waifanyie... | (Not translated) | Hindura |