Parts of this page are in Swahili. Edit translations
The Kids of the White Orange Youth club in Majengo, Pasua and Njoro meet at the WOY’s office read for marching
Siku ya UKIMWI Duniani. Kila mmoja anakaribishwa kushiriki katika maadhimisho haya. Kwa wakazi wa Moshi, Siku hii itaanza saa mbili asubuhi pale katika ofisi za Manispaa ya Moshi na kufanya maandamano kuelekea viwanja vya Manyema vilivyopo karibu na Soko la Mbuyuni Moshi. Burudani na elimu mbalimbali zitakuwepo.Wote Mnakaribishwa
White Orange Kids rehearsing at the WOY's office the song that they will sing during the world AIDS day event