Internal ID | Base | Kiswahili | Translator | Time Created |
---|
WI00095AE5E411A000028269:title | Customizing Your Website Design | Kuchagua Usanii wa Tovuti yako | youngj | July 24, 2011 |
WI000D6F8C9DE08000028268:title | Editing Pages on Your Website | Kuhariri Kurasa kwenye Tovuti yako | youngj | July 24, 2011 |
WI000B35E81D842000028267:title | Writing a News Update | Kuandika Habari | youngj | July 24, 2011 |
WI0009482CA10CD000028213:title | Logging In To Envaya | Kufungua kwenye Envaya | youngj | July 24, 2011 |
WI00035F967454A000028032:title | Editing Your Website | Kuhariri Tovuti Yako | youngj | July 24, 2011 |
WI0007BAFEB2ED3000028031:title | Introduction to Envaya | Utambulisho kwa Envaya | youngj | July 24, 2011 |
WI000BC2765B44B000028030:title | Registering Your Organization on Envaya | Kujiandikisha shirika lako kwenye Envaya | youngj | July 24, 2011 |
WI000007D39996A000028029:content | Welcome to Envaya's Help site! – Envaya's Help site is intended for people from civil society organizations in East Africa to learn about Envaya and how to use its various features. – Click any topic from the list below to learn more. | Karibu kwenye tovuti ya Msaada ya Envaya! – Tovuti ya Msaada ya Envaya inakusudiwa kwa ajili ya wadau kutoka mashirika ya kiraia katika Afrika ya Mashariki ili kujifunza kuhusu Envaya na jinsi ya kutumia uwezo wake mbalimbali. – Bonyeza mada yoyote kutoka kwenye orodha hapo chini ili kujifunza zaidi. | youngj | July 24, 2011 |
WI0004FDCD2F2F1000000462:content | Envaya develops and deploys software that empowers and connects civil society organizations around the world. – We build online and mobile tools that allow grassroots organizations to easily create their own websites, and provide larger NGOs better tools to support and communicate with these local efforts. – Background – (image) Envaya’s core belief is that the most effective and sustainable development... | Envaya inaumba na kueneza programu ya kompyuta ili kuyawezesha na kuyaunganisha mashirika ya jumuiya ya kiraia duniani. – Tunaumba vifaa vinavyoyaruhusu kujenga tovuti zao wenyewe, na kutoa vifaa kwa NGOs kubwa kusaidia bidii hizi za jamii. – Usuli – (image) Duniani kote,... | youngj | April 23, 2011 |
eS000BB8A5F1368000013108:content | Founded in 2009, MED works to increase participation of citizens in improving democracy, governance, youth education, and education about the consequences of drug abuse and HIV/AIDS. | MED ni shirika lililoanzishwa mwaka 2009 kwa ushirikiano wa wadau wapenda maendeleo kwa lengo la kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika kuboresha Elimu, Demokrasia, Elimu ya Uraia, Utawala Bora kwa makundi yote ya jamii. | youngj | April 22, 2011 |
eS00097EE6CA470000009576:content | APCCC works to facilitate local level awareness and empowerment for disaster risk reduction and sustainable adaptation measures to enable local communities to cope with impacts of climate change. | APCCC inawezesha maendeleo na uelewa kwenye jamii, kufahamisha jamii kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa na kuwafahamisha namna ya kujitetea endapo kuna gharika za mabadiliko ya hali ya hewa. | youngj | March 14, 2011 |
eS00071185E839D000007684:content | Based in Njombe district, HUDEO's activities include providing sustainable agriculture skills, improving health with clean water supplies, and promoting environmental protection through afforestation. | HUDEO inafanya kazi kukidhi mahitaji ya wana jamii wa wilaya ya Njombe. HUDEO inalenga kuboresha shughuli za wananchi kujitafutia kipato, na pia inajishughulisha na harakati mbali mbali kama mazingira, ukimwi, na kusaidia watoto. | youngj | February 7, 2011 |
(hidden) |
WI0009823D8FF97000002612:content | Below is a sampling of recent feedback that Envaya has received from people who use Envaya for their civil society organizations: – "With whole intentions, I would like to congratulate Envaya for – accomplishing the plan which has enabled many civil society – organizations to know each other, to leave behind the idea of literal – distance on the earth. For the civil society organizations that have joined – Envaya, Envaya has succeeded in making them... | Chini ipo baadhi ya ushahidi ambao Envaya imeipokea kutoka watu ambao wanatumia Envaya kwa mashirika yao ya jumuiya ya kiraia: – "Habari wana Envaya! Nimefurahia uwepo wa huduma hii hasa kwa mashirika yetu ambayo ni machanga sana katika teknohama. Kwa kila hali Envaya ni mkombozi kwao. Sisi pia tulikuwa na mikakati ya kufungua tovuti lakini tatizo ikawa ni namna ya kuiweka hewani. – "Nilipokuwa Dodoma Novemba mwaka huu... | youngj | January 11, 2011 |
eS0003C3CED1C8F000006195:content | Founded in 2001, TEYODEN works in 24 youth centers in Temeke municipality, helping youth to be responsible in behavior change and play a significant role in social, political, and economic activities. | TEYODEN imeumbwa 2001, na inafanya kazi katika vituo 21 vya vijana manispaa ya Temeke, kuwasaidia vijana kuwa na wajibu wa kubadilisha tabia na kuwa na jukumu muhimu katika shughuli za kijamii, kisiasa, na kiuchumi. | youngj | January 7, 2011 |