Internal ID | Base | Kiswahili | Translator | Time Created |
---|
WI000B48927A1D3000099117:content | Welcome to the new online reporting system for Foundation for Civil Society. This system allows your organization to submit reports online, and ensures that your reports are received instantly. – The reporting system is available in either Kiswahili or English. To change the language, use the box at the top of the page. – You can start the report, save your responses, and return later to make changes before submitting the final version to... | Karibu kwenye mfumo mpya wa ripoti kwa njia ya intaneti kwa Foundation for Civil Society. Mfumo huu inaliruhusu shirika lako kutoa ripoti kwenye intaneti, na inahakikisha kwamba ripoti zako zitapokelewa papo hapo. – Mfumo wa ripoti unapatikana kwa ama Kiswahili au Kiingereza. Kubadilisha lugha, tumia boksi ambalo lipo juu ya ukurasa. – Unaweza kuanza kuandika ripoti, kuhifadhi majibu yako, na kurudi tena baadaye kuhariri ripoti kabla ya kutoa... | youngj | January 29, 2012 |
WI000D0E1AEC551000099109:content | Dar es Salaam Flooding Community Survey – Envaya is collecting information and opinions from civil society organizations and community members in Dar es Salaam about the impact of the recent flooding and the needs of your community. – Envaya will share your responses with government, NGOs, and the international community to help mobilize recovery efforts. – Using your Envaya account, you can submit this survey multiple times with... | Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam – Envaya inakusanya taarifa na maoni kutoka kwa asasi za kiraia na wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu athari na uharibifu uliotokea kutokana na mafuriko yaliotokea mwezi december mwaka jana na mahitaji ya jamii kutokana na hali hiyo ya mafuriko. – Envaya itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya. ... | youngj | January 29, 2012 |

WI0008B63E1EEB7000095047:title | Dar es Salaam Flooding Community Survey | Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam | youngj | January 14, 2012 |
WI0008B63E1EEB7000095047:content | (image) NOTICE: Envaya is collecting reports from community members in Dar es Salaam about the recent flooding, and is sharing responses with government, NGOs, and the international community to help mobilize recovery efforts. – View... | (image) TANGAZO: Envaya inakusanya taarifa kutoka kwa wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu mafuriko, na itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya. ... | youngj | January 14, 2012 |
WI000A4BA66C0A2000095044:content | Envaya is collecting reports from community members in Dar es Salaam about the recent flooding, and is sharing responses with government, NGOs, and the international community to help mobilize recovery efforts. – Organizations in Dar es Salaam can add reports here. | Envaya inakusanya taarifa kutoka kwa wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu mafuriko, na itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya. – Mashirika jijini Dar-es-Salaam yanaweza kuongeza ripoti hapa. | youngj | January 14, 2012 |
WI00055D3FED335000062524:content | Envaya's SMS feature allows you to use Envaya from any mobile phone, almost anywhere in the world, even where there is no internet connection. Currently, you can do the following via SMS and MMS: – publish short news updates and photos to your organization's website
subscribe to news updates from any organization on Envaya
search for organizations on Envaya by name or geographic location
view contact information (name, location, phone number,... | Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. – Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS: – kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi yako
Kujiunga ili kupata... | youngj | September 29, 2011 |

subscribe to news... | youngj | September 28, 2011 |
WI00055D3FED335000062524:content | Envaya's SMS feature allows you to use Envaya from any mobile phone, almost anywhere in the world, even where there is no internet connection. Currently, you can do the following via SMS and MMS: – publish short news updates and photos to your organization's website
subscribe to news updates from any organization on Envaya
search for organizations on Envaya by name or geographic location
view contact information (name, location, phone number,... | Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. – Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS: – kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi... | youngj | September 28, 2011 |
WI00055D3FED335000062524:title | Using Envaya via Text Messages (SMS) | Kutumia Envaya kupitia Ujumbe Mfupi (SMS) | youngj | September 28, 2011 |
WI0001AC177FA73000062527:title | Using Envaya in a Mobile Web Browser | Kutumia Envaya kwenye Kivinjari cha Simu | youngj | September 28, 2011 |
WI0001AC177FA73000062527:content | Envaya can be used on any mobile phone with web capabilities. Envaya's mobile version even works on many older mobile phones, and phones with very slow internet connections. – To use Envaya on your mobile phone, open your phone's web browser and enter the address envaya.org . – (image) – From your mobile phone, you can read news published by organizations on Envaya, post comments,... | Envaya inaweza kutumika kwenye simu yoyote yenye uwezo wa intaneti. Envaya inafanya kazi hata kwenye simu nyingi za zamani, na simu zenye intaneti polepole sana. – Ili kutumia Envaya kwenye simu yako, fungua kivinjari ya simu yako na na ingiza anwani envaya.org . – (image) – Kupitia simu yako, unaweza kusoma habari zilizochapishwa na mashirika juu ya Envaya, kuandika maoni, kuongeza... | youngj | September 28, 2011 |
WI0007EFCCD45E0000028439:content | You can use Envaya on your mobile phone in two different ways: by sending text messages (SMS), or by using a mobile web browser. The sections below will explain how to use these two methods. | Unaweza kutumia Envaya kwenye simu yako kupitia njia mbili: kwa kupeleka ujumbe mfupi (SMS), au kwa kutumia kivinjari kwenye simu. Sehemu ifuatayo chini itaeleza jinsi ya kutumia njia hizi mbili. | youngj | September 28, 2011 |
WI0007EFCCD45E0000028439:content | You can use Envaya on your mobile phone in two different ways: by sending text messages (SMS), or by using a mobile web browser. The sections below will explain how to use these two methods. | Unaweza kutumia Envaya kwenye simu yako kupitia njia mbili: kwa kupeleka ujumbe mfupi (SMS), au kwa kutumia kivinjari kwenye simu. Sehemu hapo chini zitaeleza jinsi ya kutumia njia hizi mbili. – Kutumia Envaya kupitia Ujumbe Mfupi (SMS) – Uwezo wa SMS wa Envaya unakuruhusu kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, karibu na popote duniani, hata mahali bila intaneti. Kwa sasa, uwezo huu unakuruhusu kuchapisha taarifa ya habari fupi kwenye tovuti ya shirika... | youngj | September 25, 2011 |