Envaya

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WI000B48927A1D3000099117:content

Base (English) Kiswahili

Welcome to the new online reporting system for Foundation for Civil Society. This system allows your organization to submit reports online, and ensures that your reports are received instantly.

The reporting system is available in either Kiswahili or English. To change the language, use the box at the top of the page.

You can start the report, save your responses, and return later to make changes before submitting the final version to Foundation for Civil Society. If you have any questions or problems, please contact us at fcs-reports@envaya.org.
  

Karibu kwenye mfumo mpya wa ripoti kwa njia ya intaneti kwa Foundation for Civil Society. Mfumo huu inaliruhusu shirika lako kutoa ripoti kwenye intaneti, na inahakikisha kwamba ripoti zako zitapokelewa papo hapo.

Mfumo wa ripoti unapatikana kwa ama Kiswahili au Kiingereza. Kubadilisha lugha, tumia boksi ambalo lipo juu ya ukurasa.

Unaweza kuanza kuandika ripoti, kuhifadhi majibu yako, na kurudi tena baadaye kuhariri ripoti kabla ya kutoa ripoti ya mwisho kwa Foundation for Civil Society. Kama una maswali au matatizo, tafadhali wasiliana na fcs-reports@envaya.org.
  


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

youngj
January 29, 2012
Karibu kwenye mfumo mpya wa ripoti kwa njia ya intaneti kwa Foundation for Civil Society. Mfumo huu inaliruhusu shirika lako kutoa ripoti kwenye intaneti, na inahakikisha kwamba ripoti zako zitapokelewa papo hapo. – Mfumo wa ripoti unapatikana kwa ama Kiswahili au Kiingereza. Kubadilisha lugha, tumia boksi ambalo lipo juu ya ukurasa. – Unaweza kuanza kuandika ripoti, kuhifadhi majibu yako, na kurudi tena baadaye kuhariri ripoti kabla ya kutoa...