Log in

Translations: Kiswahili (sw): Latest translations

Internal IDBaseKiswahiliTranslatorTime Created
WI00095AE5E411A000028269:contentWhen you are logged in to Envaya, you can customize the appearance of the pages on your organization's site, such by uploading a logo or header image to display at the top of each page, and choosing a theme (background images and colors) for your website. – (image) – From the Edit Site page (image) , go to the Links section and...Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya, unaweza kubadlisiha muonekano wa kurasa wa tovuti ya shirika lako, kama vile nembo au kichwa itakayoonekana juu ya kila ukurasa, na kuchagua mandhari (picha au rangi) kwa ajili yako tovuti. – (image) – Kutoka ukurasa wa kuhariri tovuti (image) , Nenda – kwenye sehemu...envayateamMarch 13, 2012
WI00095AE5E411A000028269:contentWhen you are logged in to Envaya, you can customize the appearance of the pages on your organization's site, such by uploading a logo or header image to display at the top of each page, and choosing a theme (background images and colors) for your website. – (image) – From the Edit Site page (image) , go to the Links section and...Wakati umeingia ili Envaya, unaweza Customize muonekano wa kurasa kwenye tovuti ya shirika yako, kwa vile kuweka image logo au kichwa kuonyesha juu ya kila ukurasa, na kuchagua mandhari (background picha na rangi) kwa ajili yako tovuti. – (image) – Kutoka ukurasa Edit Site (image) , Kwenda sehemu Links na bonyeza Edit tovuti ya...envayateamMarch 13, 2012
WI000CF92549881000075102:contenttarehe 21/9/2011 chuyodo ili weza kufanya maamuzi ya kutafuta mwanasheriana mhasibu wa jumuia ambao walipatikana wote nawenye kiwango cha digirii, hata hivyo tumeweza kuchangishana kiasi cha pesa kwa ajili ya kuongeza vitabu vya jumuia,tulipata ugeni kutoka boook aid international ambao wapo canada kwa ajili ya kuangalia maktaba yetu ,tumezitembelea jumuia zilizokaribu na zetu mfano ZEDY,NGORC kwa ajili ya kutafuta ushiriiano kutokka kwao pia tumepata...tarehe 21/9/2011 chuyodo ili weza kufanya maamuzi ya kutafuta mwanasheriana mhasibu wa jumuia ambao walipatikana wote nawenye kiwango cha digirii, hata hivyo tumeweza kuchangishana kiasi cha pesa kwa ajili ya kuongeza vitabu vya jumuia,tulipata ugeni kutoka boook aid international ambao wapo canada kwa ajili ya kuangalia maktaba yetu ,tumezitembelea jumuia zilizokaribu na zetu mfano ZEDY,NGORC kwa ajili ya kutafuta ushiriiano kutokka kwao pia tumepata wanachama...CHUYODOMarch 13, 2012
WI0004717222573000028270:contentThe simplest way to include content from documents such as Microsoft Word files on your Envaya website is to use copy-and-paste. However, copy-and-paste only works for certain documents, because images and some formatting may be lost when pasting the document in Envaya. – An alternate way of publishing your documents on Envaya is by using the (image) button. This allows you to publish documents from Microsoft Word, as well as PowerPoint, Excel, and PDF...Njia rahisi ya kuongeza hati kama za Microsoft Word kwenye tovuti yako ya Envaya ni kwa njia ya kunakili na kuhamisha. Hata hivyo, njia hii haifanyi kazi wakati wote, kwa sababu picha na mpanigilo wa hati yako inaweza kupotea wakati wa kuhamishia kwenye tovuti yako ya Envaya. – Njia mbadala ya kuchapisha nyaraka zako juu ya Envaya ni kwa kutumia batani hii (image) . Hii inakuwezesha kuchapisha nyaraka kutoka Microsoft Word, pamoja na PowerPoint, Excel, na...envayateamMarch 12, 2012
WI000A3D897EFE5000028307:contentYou can publish photographs and other images on most pages of your Envaya website, including news updates. – To add an image on a page or news update that you are editing, click the (image) icon in the toolbar as shown below: – (image) – In the box that opens, click Browse to select an image file from your computer: – (image) – Find the image or photo file...Unaweza kuchapisha picha kwenye kurasa karibia zote za tovuti yako ya Envaya, ikiwa ni pamoja na taarifa za habari. – Kuongeza picha kwenye ukurasa au habari unayoihariri ponyeza: (image) kama hapa chini: – (image) – Katika sanduku itakayofunguka, ponyeza tafuta kuchagua faili kwenye kompyuta yako: – (image) – Kupata picha au faili picha kuwa wewe kama...envayateamMarch 8, 2012
WI00021B9182B85000006846:contentGet Involved – Excited about Envaya and want to get involved? Email us! – We are actively looking for motivated people who have been inspired to contribute to our efforts to empower grassroots civil society through technology. Whether you’re an international development specialist interested in expanding and improving our operations, a programmer who wants to directly contribute to our platform, or a non-profit professional...Ungana Nasi! – Je untaka kushiriki nasi? Wasiliana nasi kutumia info@envaya.org! – Tunatafuta watu wenye moyo watakaopenda kuchangia katika jitihada zetu za kuwezesha jamii za kiraia kwa njia ya teknolojia. Kama wewe ni mtaalamu wa maendeleo ya kimataifa au mtaalamu...envayateamMarch 8, 2012
WI000D6F8C9DE08000028268:contentOn the Edit Site page ( (image) ) is the Edit Pages section, which lists all of the pages on your organization's website. Here you can edit an existing page, change the order of pages, or add a new page to your website. – (image) – The existing...Katika ukurasa wa Hariri Tovuti ( (image) ) ipo sehemu ya Hariri Kurasa, ambayo inaorodhesha kurasa zote za tovuti ya shirika lako. Hapa unaweza kuhariri ukurasa uliyochapishwa, kubadili utaratibu ya ukurasa, au kuongeza ukurasa mpya kwenye tovuti yako. ...envayateamMarch 8, 2012
WI00035F967454A000028032:contentAfter your organization's website is approved by Envaya, anyone on the internet will be able to see your website without needing to register for Envaya. – However, only you (and anyone else who knows your organization's Envaya username and password) can edit the pages on your website when you are "logged in" to Envaya. – By looking at any page's background color, you can tell whether a page is public or if it is only available when you are logged in. All pages with...Baada ya tovuti ya asasi yako kupitishwa na Envaya, mtu yeyote akiwa kwenye mtandao atakuwa na uwezo wa kuona tovuti yako bila kuhitaji kujiandikisha Envaya. – Hata hivyo, ni wewe tu (na mtu yeyote ambaye anajua jina la mtumiaji na neno la siri la asasi yako) mnaweza kuhariri ukurasa kwenye tovuti yenu kama umeingia kwenye tovuti ya Envaya. – Kwa kuangalia rangi ya ukurasa, unaweza kujua kama ukurasa unaonekana na kila mmoja au unaweza kuona wewe mwenyewe tu...envayateamMarch 8, 2012
WI00035F967454A000028032:contentAfter your organization's website is approved by Envaya, anyone on the internet will be able to see your website without needing to register for Envaya. – However, only you (and anyone else who knows your organization's Envaya username and password) can edit the pages on your website when you are "logged in" to Envaya. – By looking at any page's background color, you can tell whether a page is public or if it is only available when you are logged in. All pages with...Baada ya tovuti ya asasi yako kupitishwa na Envaya, mtu yeyote kwenye mtandao itakuwa na uwezo wa kuona tovuti yako bila kuhitaji kujiandikisha Envaya. – Hata hivyo, ni wewe tu (na mtu yeyote ambaye anajua jina la mtumiaji na neno la siri la asasi lako) unayeweza kuhariri ukurasa kwenye tovuti yako. – Kwa kuangalia rangi ya ukurasa, unaweza kujua kama ukurasa unapatikana kwenye mtandao au la. Ukurasa zenye rangi ya kijivu zinapatikana tu wakati...envayateamMarch 8, 2012
WI0009482CA10CD000028213:contentWhen you first register for Envaya, you are automatically logged in to your new account on Envaya. However, the next time you return to envaya.org, you will probably be "logged out", and will have to log in first before editing your website. – In order to edit your website, go to http://envaya.org in your web browser and click Log in, as shown below: – (image) – Then, type your...Ukijiandikisha Envaya unaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako mpya. Lakini wakati mwingine ukurudi envaya.org, huenda umefungiwa nje na unahitaji kuingia tena kuhariri tovuti yako. – Ili kuhariri tovuti yako, nenda http://envaya.org katika web browser yako na bonyeza Ingia, kama ilivyoonyeshwa hapa chini: – (image) – Kisha andika jina la mtumiaji la shirika lako na neno la siri yaani...envayateamMarch 6, 2012
WI000BC2765B44B000028030:contentIn just a few minutes, you can easily register your civil society organization on Envaya, for free, from any computer with an internet connection. (For civil society organizations in Tanzania and Rwanda, it is not necessary to ask for approval before registering for Envaya.) – To register your organization, first go to http://envaya.org in any web browser and click Sign up now, as shown below: ...Katika dakika chache tu unaweza kuandikisha shirika lako la kijamii jamii kwenye tovuti ya Envaya, bure kabisa, kwenye kompyuta yenye mtandao. (Kwa mashirika ya kiraia yaliopo Tanzania na Rwanda, si lazima kuomba kibali kabla ya kusajili Envaya.) – Kusajili shirika lako, nenda kwanza http://envaya.org kwa kutumia browser yoyote ya mtandao na bonyeza Jiunge Sasa au Sign up now, kama ilivyo hapa...envayateamMarch 6, 2012
WI000DAED275B4C000002609:contentSango Kipozi – (image) As one of Tanzania's leading social entrepreneurs, Sango Kipozi is a household name in Tanzania. Connected to numerous leaders of Tanzanian civil society, Sango has been invaluable in helping Envaya spread across Tanzania. She is currently the Executive Director of the NGO JEAN Media, and has recently launched a community radio station in Mtwara. – Anthony Walton ...Sango Kipozi – (image) Kama mmoja wa wafanyabiashara wa Tanzania wa kuongoza jamii, Sango Kipozi ni jina kaya katika Tanzania. Kushikamana na viongozi mbalimbali wa vyama vya kiraia Tanzania, Sango imekuwa na mchango mkubwa sana katika kusaidia Envaya kuenea katika Tanzania. Yeye kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali Jean Media , na hivi karibuni ilizindua kituo cha redio ya jamii katika...envayateamMarch 5, 2012
WI0006FC1E87B98000000457:contentJoshua Stern Executive Director – (image) After graduating from Stanford with a degree in computer science, Joshua Stern served as a Peace Corps volunteer in Tanzania, where he worked to build computer infrastructure and provide fundamental ICT education to the communities in his region. Joshua co-founded Envaya in 2010 with the mission to build and deploy a software platform that provides "the last...Joshua Stern Mkurugenzi Mtendaji – (image) Baada ya kupata shahada yake ya sayansi ya kompyuta kutoka chuo cha Stanford, Joshua Stern alienda kujitolea Peace Corps Tanzania ambapo alifanya kazi ya kujenga miundombinu ya kompyuta na kutoa elimu ya msingi ya teknolojia ya habari na mawasiliano yaani ICT. Joshua alianzisha shirika hili mwaka 2010 kwa lengo la kujenga jukwaa ya programu inayowezesha uhusiano...envayateamMarch 1, 2012
WI0006FC1E87B98000000457:contentJoshua Stern Executive Director – (image) After graduating from Stanford with a degree in computer science, Joshua Stern served as a Peace Corps volunteer in Tanzania, where he worked to build computer infrastructure and provide fundamental ICT education to the communities in his region. Joshua co-founded Envaya in 2010 with the mission to build and deploy a software platform that provides "the last...Joshua Stern Mkurugenzi Mtendaji – (image) Baada ya kupata shahada yake ya sayansi ya kompyuta kutoka chuo cha Stanford, Joshua Stern alienda kujitolea Peace Corps Tanzania ambapo alifanya kazi ya kujenga miundombinu ya kompyuta na kutoa elimu ya msingi ya ICT. Joshua ni mwanzilishi mwenza wa Envaya, alianzisha shirika hili mwaka 2010 kwa lengo la kujenga jukwaa ya programu inayowezesha uhusiano kati ya...envayateamMarch 1, 2012
WI0006FC1E87B98000000457:contentJoshua Stern Executive Director – (image) After graduating from Stanford with a degree in computer science, Joshua Stern served as a Peace Corps volunteer in Tanzania, where he worked to build computer infrastructure and provide fundamental ICT education to the communities in his region. Joshua co-founded Envaya in 2010 with the mission to build and deploy a software platform that provides "the last...Joshua Stern Mkurugenzi Mtendaji – (image) Baada ya kupata shahada yake ya sayansi ya kompyuta kutoka chuo cha Stanford, Joshua Stern alienda kujitolea Peace Corps Tanzania ambapo alifanya kazi ya kujenga miundombinu ya kompyuta na kutoa elimu ya msingi ya ICT. Joshua ni mwanzilishi mwenza wa Envaya, alianzisha shirika hili mwaka 2010 kwa lengo la kujenga jukwaa ya programu inayowezesha uhusiano kati ya...envayateamMarch 1, 2012