Internal ID | Base | Kiswahili | Translator | Time Created |
---|
WI0006FC1E87B98000000457:content | Joshua Stern Executive Director – (image) After graduating from Stanford with a degree in computer science, Joshua Stern served as a Peace Corps volunteer in Tanzania, where he worked to build computer infrastructure and provide fundamental ICT education to the communities in his region. Joshua co-founded Envaya in 2010 with the mission to build and deploy a software platform that provides "the last... | Joshua Stern Mkurugenzi Mtendaji – (image) Baada ya kumapata shahada yake ya sayansi ya kompyuta kutoka chuo cha Stanford, Joshua Stern alienda kujitolea Peace Corps Tanzania ambapo alifanya kazi ya kujenga miundombinu ya kompyuta na kutoa elimu ya msingi ya ICT. Joshua ni mwanzilishi mwenza wa Envaya, alianzilisha sirika hii mwaka 2010 kwa lengo la kujenga jukwaa ya programu inayowezesha uhusiano kati... | envayateam | February 27, 2012 |
WI00021B9182B85000006846:content | Get Involved – Excited about Envaya and want to get involved? Email us! – We are actively looking for motivated people who have been inspired to contribute to our efforts to empower grassroots civil society through technology. Whether you’re an international development specialist interested in expanding and improving our operations, a programmer who wants to directly contribute to our platform, or a non-profit professional... | Ungana Nasi! – Je untaka kushiriki nasi? Wasiliana nasi kutumia info@envaya.org! – Tunatafuta watu wenye motisha wanaotaka kuchangia katika jitihada zetu za kuwezesha jamii za kiraia kwa njia ya teknolojia. Kama wewe ni mtaalamu wa maendeleo ya kimataifa au mtaalamu... | envayateam | February 27, 2012 |
WI000A0B64E2605000002611:content | (image) Envaya is actively seeking donations and grants to support and expand the impact of our work. – Your support is essential to achieving our goals and future plans, and we greatly appreciate your contributions. – Contribute to Envaya's efforts to digitally empower grassroots civil society by making a tax-deductible donation now! – There are a variety of ways you can donate to Envaya:... | (image) Envaya infanya juhudi za dhati kutafuta misaada na michango ya kusaidia na kupanua kazi yetu. – Msaada wako ni muhimu katika kufikia malengo yetu na mipango ya baadaye, na tunadhamini sana michango wenu. – Changia katika jitihada za Envaya kwa kufanya mchango kodi GNU sasa! – Kuna njia mbalimbali unaweza kuchangia kwa Envaya: cheki, kadi ya mikopo, uhamisho waya, au mchango hisa. Kama... | envayateam | February 27, 2012 |
WI00078EEEBCEAB000022958:content | About Us – Our Mission – Our Vision – Child Welfare – Eliminating Child Labour – Education – Healthcare – Protection & social welfare – Protection of human/child trafficking – Elderly Care – Women... | Kuhusu Sisi – Muono wetu – Dira yetu – Ustawi wa mtoto – Kupinga Ajira ya Watoto – Elimu – Huduma ya afya – Ulinzi na ustawi wa jamii – Ulinzi wa biashara ya binadamu / mtoto – Huduma ya wazee – Haki na stahili za Wanawake – Sisi ni Asasi hisiyo ya kiserikali na hisiyo kuwa na mtazamo wa kidini,... | Hchildren | February 22, 2012 |
WI000D0E1AEC551000099109:content | Dar es Salaam Flooding Community Survey – Envaya is collecting information and opinions from civil society organizations and community members in Dar es Salaam about the impact of the recent flooding and the needs of your community. – Envaya will share your responses with government, NGOs, and the international community to help mobilize recovery efforts. – Using your Envaya account, you can submit this survey multiple times with... | Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam – Envaya inakusanya taarifa na maoni kutoka kwa asasi za kiraia na wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu athari na uharibifu uliotokea kutokana na mafuriko yaliotokea mwezi december mwaka jana na mahitaji ya jamii kutokana na hali hiyo ya mafuriko. – Envaya itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya. ... | youngj | January 29, 2012 |
WI000B48927A1D3000099117:content | Welcome to the new online reporting system for Foundation for Civil Society. This system allows your organization to submit reports online, and ensures that your reports are received instantly. – The reporting system is available in either Kiswahili or English. To change the language, use the box at the top of the page. – You can start the report, save your responses, and return later to make changes before submitting the final version to... | Karibu kwenye mfumo mpya wa ripoti kwa njia ya intaneti kwa Foundation for Civil Society. Mfumo huu inaliruhusu shirika lako kutoa ripoti kwenye intaneti, na inahakikisha kwamba ripoti zako zitapokelewa papo hapo. – Mfumo wa ripoti unapatikana kwa ama Kiswahili au Kiingereza. Kubadilisha lugha, tumia boksi ambalo lipo juu ya ukurasa. – Unaweza kuanza kuandika ripoti, kuhifadhi majibu yako, na kurudi tena baadaye kuhariri ripoti kabla ya kutoa... | youngj | January 29, 2012 |
WI000D0E1AEC551000099109:content | Dar es Salaam Flooding Community Survey – Envaya is collecting information and opinions from civil society organizations and community members in Dar es Salaam about the impact of the recent flooding and the needs of your community. – Envaya will share your responses with government, NGOs, and the international community to help mobilize recovery efforts. – Using your Envaya account, you can submit this survey multiple times with... | Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam – Envaya inakusanya taarifa na maoni kutoka kwa asasi za kiraia na wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu athari na uharibifu uliotokea kutokana na mafuriko yaliotokea mwezi december mwaka jana na mahitaji ya jamii kutokana na hali hiyo ya mafuriko. – Envaya itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya. ... | youngj | January 29, 2012 |
WI000D0E1AEC551000099109:content | Dar es Salaam Flooding Community Survey – Envaya is collecting information and opinions from civil society organizations and community members in Dar es Salaam about the impact of the recent flooding and the needs of your community. – Envaya will share your responses with government, NGOs, and the international community to help mobilize recovery efforts. – Using your Envaya account, you can submit this survey multiple times with... | Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam – Envaya inakusanya taarifa na maoni kutoka kwa asasi za kiraia na wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu athari na uharibifu uliotokea kutokana na mafuriko yaliotokea mwezi december mwaka jana na mahitaji ya jamii kutokana na hali hiyo ya mafuriko. – Envaya itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya. ... | youngj | January 29, 2012 |
WI0008B63E1EEB7000095047:title | Dar es Salaam Flooding Community Survey | Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam | youngj | January 14, 2012 |
WI0008B63E1EEB7000095047:content | (image) NOTICE: Envaya is collecting reports from community members in Dar es Salaam about the recent flooding, and is sharing responses with government, NGOs, and the international community to help mobilize recovery efforts. – View... | (image) TANGAZO: Envaya inakusanya taarifa kutoka kwa wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu mafuriko, na itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya. ... | youngj | January 14, 2012 |
WI000A4BA66C0A2000095044:content | Envaya is collecting reports from community members in Dar es Salaam about the recent flooding, and is sharing responses with government, NGOs, and the international community to help mobilize recovery efforts. – Organizations in Dar es Salaam can add reports here. | Envaya inakusanya taarifa kutoka kwa wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu mafuriko, na itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya. – Mashirika jijini Dar-es-Salaam yanaweza kuongeza ripoti hapa. | youngj | January 14, 2012 |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |