Internal ID | Base | Kiswahili | Translator | Time Created |
---|
WI0004717222573000028270:content | The simplest way to include content from documents such as Microsoft Word files on your Envaya website is to use copy-and-paste. However, copy-and-paste only works for certain documents, because images and some formatting may be lost when pasting the document in Envaya. – An alternate way of publishing your documents on Envaya is by using the (image) button. This allows you to publish documents from Microsoft Word, as well as PowerPoint, Excel, and PDF... | Njia rahisi ya kuongeza hati kama za Microsoft Word kwenye tovuti yako ya Envaya ni kwa njia ya kunakili na kuhamisha. Hata hivyo, njia hii haifanyi kazi wakati wote, kwa sababu picha na mpangilio wa hati yako inaweza kupotea wakati wa kuhamishia kwenye tovuti yako ya Envaya. – Njia mbadala ya kuchapisha nyaraka zako juu ya Envaya ni kwa kutumia batani hii (image) . Hii inakuwezesha kuchapisha nyaraka kutoka Microsoft Word, pamoja na PowerPoint, Excel, na... | mgaya | March 28, 2012 |
itrans:placeholder_error | The translation did not have the correct placeholders. | Tafsiri haina maana sahihi | ramadhan | March 26, 2012 |
WI0006FC1E87B98000000457:content | Joshua Stern Executive Director – (image) After graduating from Stanford with a degree in computer science, Joshua Stern served as a Peace Corps volunteer in Tanzania, where he worked to build computer infrastructure and provide fundamental ICT education to the communities in his region. Joshua co-founded Envaya in 2010 with the mission to build and deploy a software platform that provides "the last... | Joshua Stern Mkurugenzi Mtendaji – (image) Baada ya kupata shahada yake ya sayansi ya kompyuta kutoka chuo cha Stanford, Joshua Stern alienda kujitolea Peace Corps Tanzania ambapo alifanya kazi ya kujenga miundombinu ya kompyuta na kutoa elimu ya msingi ya teknolojia ya habari na mawasiliano yaani ICT. Joshua alianzisha shirika hili mwaka 2010 kwa lengo la kujenga jukwaa ya programu inayowezesha uhusiano... | ramadhan | March 26, 2012 |

WI000198A510A23000028288:content | On your website on Envaya, you can create a Discussions page, which allows anyone – from your organization or other organizations, from your community or anywhere in the world – to collaborate and discuss topics related to your organization and its work. – To create a Discussions page, log in to Envaya and go to the Edit Site page ( (image) ). Scroll down to the Edit Pages section, and click Discussions. – To start your first... | Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa majadiliano, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, au kutoka katika jamii yako au mahali popote duniani - kushiriki na kujadili mada inayohusiana na asasi yako na kazi zake. – Kuunda ukurasa wa majadiliano, ingia kwenye akaunti yako ya Envaya na nenda kwenye ukurasa Hariri Tovuti ( (image) ). Nenda chini kwenye sehemu ya Hariri Ukurasa, na bonyeza... | mgaya | March 26, 2012 |
WI00095AE5E411A000028269:content | When you are logged in to Envaya, you can customize the appearance of the pages on your organization's site, such by uploading a logo or header image to display at the top of each page, and choosing a theme (background images and colors) for your website. – (image) – From the Edit Site page (image) , go to the Links section and... | Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya, unaweza kubadilisha muonekano wa kurasa wa tovuti ya shirika lako, kama vile nembo au kichwa itakayoonekana juu ya kila ukurasa, na kuchagua mandhari (picha au rangi) kwa ajili yako tovuti. – (image) – Kutoka ukurasa wa kuhariri tovuti (image) , Nenda – kwenye sehemu... | mgaya | March 20, 2012 |
WI00086DC89D659000028519:content | On your website on Envaya, you can create a Network page, where you can list organizations that partner with your organization and describe how you work with them. – These organizations may include partners that fund, support, or work with you, as well as networks of organizations where you are a member. You can add organizations to your Network page even if they are not registered for Envaya. – To create a Discussions page, log... | Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa mtandao, ambapo unaweza kuorodhesha mashirika ambayo utaweza kushirikiana nayo pia kueleza kazi zako – Mashirika haya ni pamoja na mashirika wafadhiri,watoa msaada, au mashirika ya kujitolea, pamoja na mitandao ya mashirika ambapo ni wanachama. Unaweza kuongeza mashirika ya Mtandao katika ukurasa wako hata kama hawajasajiliwa kwenye Envaya. – Kuunda ukurasa majadiliano,ingia kwenye... | mgaya | March 20, 2012 |
(hidden) |
WI00086DC89D659000028519:content | On your website on Envaya, you can create a Network page, where you can list organizations that partner with your organization and describe how you work with them. – These organizations may include partners that fund, support, or work with you, as well as networks of organizations where you are a member. You can add organizations to your Network page even if they are not registered for Envaya. – To create a Discussions page, log... | Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa mawasiliano, ambapo unaweza kuorodesha mashirika ambayo unashirikiana nayo na kueleza jinsi unavyofanya nayo kazi. – Mashirika haya ni pamoja na mashirika yanayokudhamini, au yanayofanya kazi na wewe, pamoja na mitandao ambapo asasi yako ni wanachama. Unaweza kuongeza mashirika ya Mtandao katika ukurasa wako hata kama hayajasajiliwa kwenye Envaya. – Kuunda ukurasa wa majadilianao, ingia... | mgaya | March 20, 2012 |
WI00086DC89D659000028519:content | On your website on Envaya, you can create a Network page, where you can list organizations that partner with your organization and describe how you work with them. – These organizations may include partners that fund, support, or work with you, as well as networks of organizations where you are a member. You can add organizations to your Network page even if they are not registered for Envaya. – To create a Discussions page, log... | Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa mawasiliano, ambapo unaweza kuorodesha mashirika ambayo unashirikiana nazo na kueleza jinsi unafanya nao kazi. – Mashirika haya ni pamoja na mashirika yanayokudhamini, au yanayofanya kazi na wewe, pamoja na mitandao ambapo asasi yako ni wanachama. Unaweza kuongeza mashirika ya Mtandao ukurasa wako hata kama ni haijasajiliwa kwa Envaya. – Kuunda ukurasa Discussions, kuingia kwenye Envaya... | envayateam | March 15, 2012 |
WI000198A510A23000028288:content | On your website on Envaya, you can create a Discussions page, which allows anyone – from your organization or other organizations, from your community or anywhere in the world – to collaborate and discuss topics related to your organization and its work. – To create a Discussions page, log in to Envaya and go to the Edit Site page ( (image) ). Scroll down to the Edit Pages section, and click Discussions. – To start your first... | Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa majadiliano, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, au kutoka kwa jamii yako au mahali popote duniani - kushiriki na kujadili mada inayohusiana na asasi yako na kazi zake. – Kuunda ukurasa wa majadiliano, ingia kwenye akaunti yako ya Envaya na nenda kwenye ukurasa Hariri Tovuti ( (image) ). Nenda chini kwenye sehemu ya Hariri Ukurasa, na bonyeza... | envayateam | March 15, 2012 |
WI00095AE5E411A000028269:content | When you are logged in to Envaya, you can customize the appearance of the pages on your organization's site, such by uploading a logo or header image to display at the top of each page, and choosing a theme (background images and colors) for your website. – (image) – From the Edit Site page (image) , go to the Links section and... | Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya, unaweza kubadlisiha muonekano wa kurasa wa tovuti ya shirika lako, kama vile nembo au kichwa itakayoonekana juu ya kila ukurasa, na kuchagua mandhari (picha au rangi) kwa ajili yako tovuti. – (image) – Kutoka ukurasa wa kuhariri tovuti (image) , Nenda – kwenye sehemu... | radhina | March 15, 2012 |
WI000198A510A23000028288:content | On your website on Envaya, you can create a Discussions page, which allows anyone – from your organization or other organizations, from your community or anywhere in the world – to collaborate and discuss topics related to your organization and its work. – To create a Discussions page, log in to Envaya and go to the Edit Site page ( (image) ). Scroll down to the Edit Pages section, and click Discussions. – To start your first... | Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa majadiliano, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, au kutoka kwa jamii yako au mahali popote duniani - kushiriki na kujadili mada inayohusiana na asasi yako na kazi zake. – Kuunda ukurasa wa majadiliano, ingia kwenye akaunti yako ya Envaya na nenda kwenye ukurasa Hariri Tovuti ( (image) ). Nenda chini kwenye sehemu ya Hariri Ukurasa, na bonyeza... | envayateam | March 15, 2012 |
WI0009823D8FF97000002612:content | Below is a sampling of recent feedback that Envaya has received from people who use Envaya for their civil society organizations: – "With whole intentions, I would like to congratulate Envaya for – accomplishing the plan which has enabled many civil society – organizations to know each other, to leave behind the idea of literal – distance on the earth. For the civil society organizations that have joined – Envaya, Envaya has succeeded in making them... | Chini ni sampuli ya maoni ya hivi karibuni ambayo Envaya imepokea kutoka kwa watu ambao wanatumia Envaya kwa ajili ya mashirika yao ya kiraia. – "Kwa dhati kabisa, napenda kuwapongeza Envaya kwa kufanikisha mpango ambao umeziwezesha asasi nyingi za kiraia kujuana zenyewe, na kuacha nyuma wazo la kujiona kuwa wako mbali na ulimwengu huu wa sasa . – Kwa ajili ya mashirika ya kiraia ambayo yameshajiunga na Envaya, Envaya imefanikiwa kuwafanya wawe karibu na dunia ya... | envayateam | March 13, 2012 |