Envaya

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maoni mapya

Internal IDAsiliKiswahiliMaoniMuda ya Uumbaji
WIU66weTOs02DZ5Oji1srTVs:contentndeleo ndani ya Wilaya na Nchi kwa ujumla. (5)- Kubuni njia zitakazoleta ufanisi katika vipengele vya hapo juu. (6)- Kuandikana kuzalisha habari zitakazosambazwa kwa Wananchi kupitia Maktaba za jamii.. shirika limejikita zaidi katika vipengele vikuu kama elimu, kilimo na utunzaji wa mazingira, ukimwi na malaria, ujasiriamali, utawala bora na haki za binadamu. Hivyo:- (1)- kushirikiana na serikali na vyombo vingine visivyo vya kiserikali vya ndani na nje ya nchi katika kutoa huduma kwa jamii. (2)- kuainisha mahitaji na kushiriki katika kupanga na kutekeleza huduma hizo ipasavyo. (3)- kuishawishi serikali na vyombo vyake ili vitoe huduma bora katika jamii kwa haki na usawa. (4)- kuhamasisha...KAULI MBIU YA SHILIKA Elimu ni silaha ya kupimdua ulimwengu katika ujinga 2 Novemba, 2014 na Kasodefo2009
WI0003B4C11C30A000089267:contentAny Zanzibari aged over 18, who shall accept the Associational ideas.ZAPA has opened a new branch office to advance it's fficiency12 Oktoba, 2014 na CHALAY
WI0009735566259000008543:contentKizito Bahati, Program Coordinator. – Francis Bonda, Treasurer of the Organization – Bernadetha Cyril, Technical DirectorBahati Kizito, Katibu wa Shirika la. – Francis Bonda, Mweka Hazina wa Shirika laSport is International Language which PSD speaks13 Julai, 2014 na psd
WIRYBwwRw9ufyjqOV4rJqSli:contentFruitful Orphanage Children Home – Fruitful Orphanage was established in 2014 and is dedicated to providing food, shelter and education to orphaned children in Arusha. Many children in Arusha have suffered displacement and continue to suffer losses, which have led us to commit to the ongoing and unmet needs of our community displaced to camps and resettlement communities within Tanzania. Fruitful Orphanage was conceived with a vision to create a peaceful society where...God will bless everyone who will be with us so as to fight against the problem which facing the world.24 Mei, 2014 na fruitfulorphanage
widget:updatesLatest UpdatesMabadiliko Mapyawanachama wa VIYOSO wakiwa kwenye picha ya pamoja20 Aprili, 2014 na viyoso
WIPk4cKhKj8T9MgPd1OajQQI:content(image) – Vijana wa Dira Goup waki cheza Lizombe.Dira group inajitaidi kuwafikia wana nchi wa vijiji vya ndani kabisa ambapo wengine ina wawia vigumu.13 Machi, 2014 na dtg
WIh9FQsfm9egBk1LWdKQ3BEk:contentAUDAX KYOMWENGE – Member – ATUPENDA MARTIN – Member – AYUBU ISSAC – Programme Officer: contact: +255789754678, e-mail:- ayubnet36@hotmail.com – LEONARD IFUNYA – SECRETARY OF THE ASSOCIATION – EDITH KASILIMA -...Ashirafu Kajuna -new member 19 Septemba, 2013 na WAKA
WIhyS0SsVl3zMWsDRHv1fXnF:contentWhat makes your organization a credible NGO? One that's worth funding, respected by the general public and recognized by the government? – According to research carried out by REPOA, about 60% of funding for NGOs in Tanzania comes from foreign donors and international NGO’s. Funding is one of the most important and sometimes stressful aspects of the work of NGO’s, and learning effective fundraising mechanisms is very important. – Do you have any...Hivi ni nini kinachosababisha shirika lako liaminike? Liwe katika kiwango cha kupewa ruzuku? Liheshimike katika jamii kwa ujumla na pia litambulike kwenye serikali? – Kutokana na ufwatiliaji uliofanywa na REPOA, takriban asilimia 60% ya ruzuku kwaajili ya mashikia yasiokuwa ya kiserikali nchini Tanzania zinatokana na mashirika ya kimataifa. Upataji na ufwatiliaji wa ruzuku ni moja kati ya kazi muhimu sana na pia yenye changamoto nyingi sana kwa mashirika yasiokuwa ya kiserikali....maoni yako pia ni ya muhimu kuiendeleza nchi na wananchi wake kwa ujumla14 Septemba, 2013 na jifunze
WI000CC355C3332000078656:content(image)NEYONE haijabaki nyuma katika kipindi hiki cha mchakato wa kuelekea upatikanaji wa katiba mpya, kupitia mradi wa FAHAMU ONGEA SIKILIZWA unaotekelezwa katika kata 10 za wilaya ya Newala vijana 200 wamefikiwa na kupewa mafunzo yaliyowafanya wafahamu kuhusu katiba ya sasa, watoe mawazo/maoni yao katika mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya na pia waweze kusikilizwa na wadau husika ili kupata katiba yenye kukidhi mahitaji ya Taifa la sasa.25 Juni, 2013 na NEYONE
WIkE6pIJZcKnJZCmG0kqsTEz:content(image)TAWAWAMI CHILDREN CENTER ILEMELA. early Child are ready for their porrage after their learning and enjoying games at the center.19 Machi, 2013 na tawawami