Base ((unknown language)) | Kiswahili |
---|---|
ndeleo ndani ya Wilaya na Nchi kwa ujumla. (5)- Kubuni njia zitakazoleta ufanisi katika vipengele vya hapo juu. (6)- Kuandikana kuzalisha habari zitakazosambazwa kwa Wananchi kupitia Maktaba za jamii. |
. shirika limejikita zaidi katika vipengele vikuu kama elimu, kilimo na utunzaji wa mazingira, ukimwi na malaria, ujasiriamali, utawala bora na haki za binadamu.
Hivyo:-
(1)- kushirikiana na serikali na vyombo vingine visivyo vya kiserikali vya ndani na nje ya nchi katika kutoa huduma kwa jamii.
(2)- kuainisha mahitaji na kushiriki katika kupanga na kutekeleza huduma hizo ipasavyo.
(3)- kuishawishi serikali na vyombo vyake ili vitoe huduma bora katika jamii kwa haki na usawa.
(4)- kuhamasisha jamii kushiriki harakati za maendeleo ndani ya Wilaya na Nchi kwa ujumla.
(5)- Kubuni njia zitakazoleta ufanisi katika vipengele vya hapo juu.
(6)- Kuandikana kuzalisha habari zitakazosambazwa kwa Wananchi kupitia Makta |
Comments
KAULI MBIU YA SHILIKA Elimu ni silaha ya kupimdua ulimwengu katika ujinga
November 2, 2014 by Kasodefo2009
|
Translation History
|