Envaya

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WIhyS0SsVl3zMWsDRHv1fXnF:content

Base (English) Kiswahili

What makes your organization a credible NGO? One that's worth funding, respected by the general public and recognized by the government?

According to research carried out by REPOA, about 60% of funding for NGOs in Tanzania comes from foreign donors and international NGO’s. Funding is one of the most important and sometimes stressful aspects of the work of NGO’s, and learning effective fundraising mechanisms is very important.

Do you have any tips or facts to share with community based organizations? Have you ever carried out a successful fundraising campaign?

Learn more about fundraising and networking for your NGO, and let us know about your organization's efforts!

Hivi ni nini kinachosababisha shirika lako liaminike? Liwe katika kiwango cha kupewa ruzuku? Liheshimike katika jamii kwa ujumla na pia litambulike kwenye serikali?

Kutokana na ufwatiliaji uliofanywa na REPOA, takriban asilimia 60% ya ruzuku kwaajili ya mashikia yasiokuwa ya kiserikali nchini Tanzania zinatokana na mashirika ya kimataifa. Upataji na ufwatiliaji wa ruzuku ni moja kati ya kazi muhimu sana na pia yenye changamoto nyingi sana kwa mashirika yasiokuwa ya kiserikali. Kujifundisha jinsi ya kupata ruzuku na kukimu mahitaji ya ki fedha kwenye shirika kupitia shuguli za kihisani zitakazo ingiza pesa ni muhimu sana kwaajili ya shirika lako. 

Je una mawazo yeyote  au mada unayotaka uchangie kwenye makala hii? Umewahi kufanya shughuli za kihisani na ukafanikiwa?

Jifunze zaidi kuhusu upataji wa ruzuku kwa ajili ya shirika lako, na tujulishe kuhusu juhudi za shirika lako!


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Comments

maoni yako pia ni ya muhimu kuiendeleza nchi na wananchi wake kwa ujumla
September 14, 2013 by jifunze

Translation History

youngj
December 4, 2012
Hivi ni nini kinachosababisha shirika lako liaminike? Liwe katika kiwango cha kupewa ruzuku? Liheshimike katika jamii kwa ujumla na pia litambulike kwenye serikali? – Kutokana na ufwatiliaji uliofanywa na REPOA, takriban asilimia 60% ya ruzuku kwaajili ya mashikia yasiokuwa ya kiserikali nchini Tanzania zinatokana na mashirika ya kimataifa. Upataji na ufwatiliaji wa ruzuku ni moja kati ya kazi muhimu sana na pia yenye changamoto nyingi sana kwa mashirika yasiokuwa ya kiserikali....