Base ((unknown language)) | English |
---|---|
Kuiwezesha jamii ya kitanzania katika njia shirikishi kutambua matatizo waliyonayo na kupanga mikakati ya kukabiliana nayo na kuitekeleza kulingana na rasilimali zilizopo. Lengo ni kuijenga jamii bora ya kitanzania kiafya, kielimu, kiuchumi na kiutamaduni, katika utawala bora, jinsia pamoja na mazingira kulingana na maleongo ya milenia na sera za kitaifa. |
Enable the Tanzanian community in a collaborative way to identify the problems they have and plan strategies to deal with it and implement in accordance with existing resources. The goal is to build a better community of Tanzanian health, educational, economic and cultural, in good governance, gender and environment in accordance with the millennium maleongo and national policies. |
Translation History
|