Kuiwezesha jamii ya kitanzania katika njia shirikishi kutambua matatizo waliyonayo na kupanga mikakati ya kukabiliana nayo na kuitekeleza kulingana na rasilimali zilizopo. – Lengo ni kuijenga jamii bora ya kitanzania kiafya, kielimu, kiuchumi na kiutamaduni, katika utawala bora, jinsia pamoja na mazingira kulingana na maleongo ya milenia na sera za kitaifa. | (Not translated) | Hindura |