Envaya

/dhahabu: Kiswahili: WI0009970BC61CC000006516:content

Asili ((unknown language)) Kiswahili

Kuiwezesha jamii ya kitanzania katika njia shirikishi kutambua matatizo waliyonayo na kupanga mikakati ya kukabiliana nayo na kuitekeleza kulingana na rasilimali zilizopo.

Lengo ni kuijenga jamii bora ya kitanzania kiafya, kielimu, kiuchumi na kiutamaduni, katika utawala bora, jinsia pamoja na mazingira kulingana na maleongo ya milenia na sera za kitaifa.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe