Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Vijana washiriki maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yaliyofanyika tarehe 2 disemba 2011 viwanja vya Zakhiem Mbagala Charambe Takribani vijana 60 wanachama na Viongozi wa mtandao wa vijana Manispaa ya Temeke wameshiriki maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani ambayo mwaka huu yamefanyika katika viwanja vya Zakhiem kata ya Mbagala.Maadhimisho hayo yaliyopambwa kwa vikundi mbalimbali vya sanaa za ngoma na maigizo yanayolenga kuhimiza jamii dhidi ya hatua za kudhibiti maambukizi,kutoa hudua kwa waathiriwa na waathirika wa ukimwi,upimaji kwa hiari,matumizi ya kondom na hatua za uboreshaji wa sera zinazohusu ukimwi yalianza kwa maandamano mafupi yaliyopokelewa na mgeni rasmi Naibu meya wa Manispaa ya Temeke. Kazi za TEYODEN TEYODEN katika banda lake ilifanya kazi zifuatazo:-
Mafanikio
Mwisho wa maadhimisho haya ni mwanzo wa michakato na mipango mipya juu ya uthibiti wa maambukizi mapya na huduma kwa waathiriwa na waathirika wa Ukimwi.Kila mtu achukue nafasi yake sasa hivi na hapo hapo alipo.Tusiufundishe ulimwengu kuimba tuonyeshe kwa vitendo. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe