Envaya

/TEYODEN/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
Zantel na TEYODEN wafanya programu ya ushirikiano ili kuwezesha vijana kuongeza kipato chao na kuwa na uwezo kukabiliana na changamoto za kimaisha. – Vijana wa kata ya kilakala wamefanya kikao cha pamoja na katibu mtendaji wa TEYODEN na mhamasishaji jamii wa kampuni ya ZANTEL.Lengo la kikao ni kufanya majadiliano ya pamoja na kukubaliana juu ya ushirikiano wa pamoja kati ya pende hizo mbili.mhamasishaji wa ZANTEL alieleza kuwa vijana...(Bila tafsiri)Hariri
MDAHALO WA VIJANA WARUDI KWA KASI MPYA NA MAARIFA ZAIDI. – Timu iliyoundwa kufanya uzinduzi wa mdahalo wa vijana uliobadilisha vikao vyake kutoka kila jumamosi na kuwa mara moja kwa mwezi ilifanya vizuri kwa kufikia 60% ya malengo yaliyowekwa katika kikao cha kamati ya utendaji cha TEYODEN cha hivi karibuni.Mdahalo huu uliohudhuriwa na vijana wapatao 70 na kuwezeshwa na bwana Ismail Mnikite ulifana sana ingawa ulichelewa kidogo kuanza.Mada ya mdahalo...(Bila tafsiri)Hariri
Vijana kutoka TEYODEN wakiwa katika picha ya pamoja katika kikao cha Climate change Don Bosco upanga Dar-es-salaam – (image)(Bila tafsiri)Hariri
Vijana TEYODEN washiriki maadhimisho ya Climate Change Don Bosco,Upanga Dar-es-salaa. – Vijana 20 TEYODEN ( wanaume 10 na wasichana 10) washiriki katika Maadhimisho ya climate change Tanzania yaliyofanyika katika viwanja vya – Don Bosco Upanga tarehe 8/11/2011 – Lengo la mkutano wa Mabadiliko ya hali ya mazingira – Kuwaaga vijana wa kitanzania ambao wataambatana na vijana wenzao kutoka...(Bila tafsiri)Hariri
(image) TEYODEN yafanya mafunzo ya VICOBA kwa wasichana 80 waliozaa chini ya umri na waliosahalika na jamii (Ma mama wadogo) kutoka katika kata 4 za Azimio,Mtoni,Kibada na Vijibweni.Pamoja na walengwa hao walikuwepo mentors(walezi wa wasichana katika kata) 16 nao wakipata elimu hiyo ya VICOBA.Mafunzo hayo yalitanguliwa na mafunzo ya mafunzo ya siku 2 kuhusu stadi za maisha na elimu ya ujasiriamali yaliyofanyika kwa wasichana katika kata nne za mradi zilizotajwa hapo...(Bila tafsiri)Hariri
Vijana washiriki maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yaliyofanyika tarehe 2 disemba 2011 viwanja vya Zakhiem Mbagala Charambe – Takribani vijana 60 wanachama na Viongozi wa mtandao wa vijana Manispaa ya Temeke wameshiriki maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani ambayo mwaka huu yamefanyika katika viwanja vya Zakhiem kata ya Mbagala.Maadhimisho hayo yaliyopambwa kwa vikundi mbalimbali vya sanaa za ngoma na maigizo...(Bila tafsiri)Hariri
Pichani juu:Wanajamii wakipata maelezo kutoka kwa mweka hazina msaidizi wa TEYODEN bi Prisca Moses juu ya V.V.U/UKIMWI Katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani yaliyofanyika viwanja vya Zakhiem mbagala Charambe.Pichani chini:mama mwenye kofia Mgeni rasmi wa maadhimisho ya Ukimwi duniani Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke akipata maelezo ya shughuli za TEYODEN kutoka kwa afisa habari wa TEYODEN bwana Hamphrey Shao. ...(Bila tafsiri)Hariri
MENTORS(walezi) wa wasichana wa mradi wa kujenga uwezo wa wasichana waliosahaurika wakiwa katika picha ya pamoja na msimamizi wa mradi,mratibu na wawezeshaji wa mafunzo hayo (image)(Bila tafsiri)Hariri
Donation(Bila tafsiri)Hariri