upo usemi kwamba vijana ni taifa la kesho sitaki kabisa kuusikia kwani unalenga kuwarudisha nyuma vijana kimaendeleo. vijana ni tauifa la leo na siyop kesho kama wanasiasa wakongwe wanavyodai kama wakina nyerer wangesubiri kesho ati kwa wasababu ni vijana taifa lisingepata uhuru tunaojivunia leo kadhalika gadaff angesubiri leo libya isingezungumzwa hata kwenye vyombo vya habari leo. serikali na wizara zake lazima iangalie kwa kina jinsi ya kuwakomboqa vijana katika masuala nyeti kama elimu na... | (Not translated) | Hindura |