Log in

/jeanmedia/post/93578: English: CMF0nldVd9bHVIRCY4MiEnhS:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English
Katika maisha kuna ki2 kinaitwa paspective [taswira] kwa vijana walio wengi huwa hawana muono katka maisha mpaka afikwe na matatizo ndio aelewe hvy ningependa vijana wapate ilimu ya jinsia hata life skill, kwa kwel vijana kupitia ktk changamoto za baleghe huwa ni kipindi cha tabu sana lakin kini sirikali ikitowa elimu za kijami mashulen mara kwa mara basi hata matatizo yatapungua kwa kiasi kikubwa.
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register