Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Vijana wengi hudanganywa kwamba eti wasipofanya mapenzi katika ujana waowatashindwa kuzaa, wengine wanapotoshwa kwamab kutokufanya mapenzi kunaleta chunusi, kufanya mapenzi kunasaidia kukomaza viungo vya uzazi pia vijana wanapotoshwa kwamba wasipofanya mapenzi viungo vyao vitaziba jambo ambalo kitaalamu siyo sahihi. hali kadhalika vijana wanapotoshwa kwamba lazima wafanye mapenzi na wachumba wa kabla ya ndoa ili kuwajua vizuri.siyo siri vijana wamedanganyiak padogo kwani wanadanganywa na mambo madogo hebu fikilia kijana anyeyreambiwa eti usipofanya ngono uume utapunguaz na kuwa mdogo |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe