Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
VIJANA KATIKA TAIFA LOLOTE LAZIMA WAFUATE MISINGI IFUATAYO; 1.JITIHADA NA MAARIFA 2. ELIMU NA AJIRA 3UZALENDO NA MAPENZI MEMA NA JAMII 4 AMANI NA UNYENYEKEVU 5 NIDHAMU NA UTULIVU 6 NDOTO YAKINIFU NA MITAZAMO THABITI 7 HAKI NA MAMLAKA JUU YA UMILIKI 8 KIPAUMBELE NA UJASILIA MALI 9 MIKAKATI KABAMBE YA KIHARAKATI YA KUPIGA VITA UMASIKINI 10 UONGOZI BORA |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe