Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/jeanmedia/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
PICHA MBALI MBALI ZA ATHARI ZA MAFURIKO JIJINI DAR-ES-SALAAM – (image) – (image) – Maji machafu karibu ya makazi ya watu na nyumba zizilojengwa kwenye maeneo hatarishi, – endapo mvua kubwa zitatokea tena ...
(Bila tafsiri)
Hariri
(document)
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) (pictures taken by temmy temmy our reporter from iringa) – we all know that Climate Change is now considered one of the most serious global threats to sustainable development, with diverse impact already vivid on the environment, human health, food security, human settlements, economic activities, natural resources and physical infra structure. – To...
(image) (Picha zilizochukuliwa na temmy temmy mwandishi wetu kutoka Iringa) – sisi wote tunajua kwamba lugha ya Hali ya Hewa sasa kuchukuliwa moja ya vitisho kubwa zaidi kimataifa kwa maendeleo endelevu, na athari mbalimbali tayari wazi juu ya mazingira, afya ya binadamu, usalama wa chakula, makazi ya binadamu, shughuli za kiuchumi, maliasili na kimwili infra muundo. ...
Hariri
Skill sharing- Basic Interviewing Skills – Hallo there! – I would like to share with you some basic Interviewing Skills: – Know what your story is-in other words why you are doing the interview? – Know what role this person is playing in your programme. – Brief yourself-find out as much background on the story as...
Ujuzi kugawana Basic kuhoji Stadi – Hallo hapo! – Napenda kushiriki na baadhi ya msingi Ujuzi Kuhoji: – Kujua nini hadithi yako ni-kwa maneno mengine kwa nini wewe ni kufanya mahojiano? – Kujua nini nafasi ya mtu huyu ni kucheza katika programu yako. – Taarifa fupi mwenyewe-kujua kama background mengi juu ya hadithi iwezekanavyo....
Hariri
ATHARI ZA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM – Kutokana na mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar es salaam,tarehe 20/12/2011 wananchi wengi mpaka sasa hawana makazi ya kudumu na huduma za afya zimezidi kuzorota kwa kiwango kikubwa. – Takwimu zinaonesha kuwa watu wapatao 41 wamefariki dunia kutokana na mafuriko hayo,wakati wengine mamia wamepoteza makazi na mali zao.Baada ya tukio hilo kutokea serikali na wadau wengine walishirikiana kuhakikisha kuwa misaada ya hali na...
ATHARI ZA mafuriko JIJINI DAR ES SALAAM – Kutokana Rangi mafuriko yaliyolikumba Jiji la Dar es salaam, tarehe 20/12/2011 wananchi wengi Mpaka Sasa hawana makazi ya kudumu Rangi huduma za Afya zimezidi kuzorota Kwa kiwango kikubwa. – Takwimu zinaonesha kuwa watu wapatao 41 wamefariki Dunia kutokana Rangi mafuriko Hayo, wakati wengine wamepoteza makazi mamia Rangi mali zao.Baada ya tukio hilo kutokea serikali Rangi wadau wengine walishirikiana kuhakikisha kuwa...
Hariri
(document)
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) ilikuwa ni tarehe 20/12/201, usiku na kuamkia tarehe 21/12/2011 wananchi wa jiji la Dar es salaam walijikuta katika wakati mgumu mara baada ya kukumbwa na mafuriko,ambayo yaliwaacha baadhi ya wakazi wa jiji hili wakiwa hawana makazi ya kuishi huku wengine wapatao 41 wakipoteza maisha. – Kutokana na hali hiyo,serikali,taasisi,mashirika na watu binafsi walijitoa kwa hali na mali kuhakikisha kuwa wahanga wa mafuriko wanasaidiwa,kwa...
(Bila tafsiri)
Hariri
ELIMU YA STASDI ZA MAISHA. – Mimba za utotoni na utumiaji wa dawa za kulevya nchini Tanzania limekuwa ni tatizo linalokuwa siku hadi siku.Takwimu zinaonesha kuwa watoto wenye umri kuanzia miaka 9-25,ndio wanaoathirika kwa kiwango kikubwa na tatizo hili. – Mwaka 2008 katika shule ya msingi Ilagala mkoani Kigoma binti wa miaka tisa alionekana kuwa na ujauzito ,hali ambayo ilihatarisha maisha yake na kiumbe kilichokuwa tumboni.Mwaka 2006 wanafunzi 64 wa kike...
(Bila tafsiri)
Hariri
HALI HALISI YA MAISHA BAADA YA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM – kama umebahatika kutembelea maeneo ambayo yamekumbwa na mafuriko katika jiji hili,hali ni mbaya sana kwa wakazi wa maeneo hayo.Nyumba nyingi ziko kwenye tope zito huku tope hilo likiwa limechanganyika na kinyesi cha binadamu. – hali ya maisha kwa ujumla imekuwa ngumu sana kiasi kwamba wengine wamekata tamaa ya kuishi.Wapo wazazi ambao wana watoto wa shule,lakini tangu shule zinafunguliwa hawajaenda...
(Bila tafsiri)
Hariri
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)